Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Inasemekana Kelvin hakumsaidia huyo mtoto na badala yake alipiga picha, mtoto huyu alikufa kwa kuzidiwa na njaa.....
 
:flame: tunavyoweza kusikitika kama kweli tuna HURUMA
 
Kuna sehemu niliisoma hii habari, hakukua na maelezo yakua Kevin alimsaidia huyo mtoto baada ya kupiga picha

In March 1994, while on a trip to Sudan, Carter was preparing to photograph a starving toddler trying to reach a feeding centre when a hooded vulture landed nearby. Carter reported taking the picture, because it was his "job title", and leaving. He was told not to touch the children for fear of transmitting disease. He committed suicide 3 months after winning the Pulitzer Prize.

The Life and Death of Kevin Carter
 
He was been haunted since then, until he commit suicide, what a shame na alikufa hana hata senti
 
Row

Hii picha naikumbuka ni ya East Congo (Kongo ya Kabila) wakati wa civil war - vita enzi za M23

Caption:

The civil war in the Congo has no mercy. Men, women, children, the elderly; millions of lives are directly affected. What is the main cause of this civil war? The mining of Coltan.

Source:

https://decoo11000themgm.wordpress.com/category/uncategorized/.

cc: nifah cute b


icons-gallery-3.jpg
 
Huyu ndege kama anamlia taiming dogo...

Hii icha ilivyosambaa watu, hasa asasi za kiraia walilalamika eti kwa nini mpigapicha alikimbilia kupiga picha badala ya kumsaidia dogo kwanza
 
Back
Top Bottom