Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Dogo aliliwa na mpiga picha baadae alijiua.kwa kuhisi alifanya kosa kwa kupiga picha na kuondoka baada ya kutomsaidia.

yes i got dat ilikuwa kwenye 1990's sikumbuki excactly year but uyu jamaa alopiga picha alipewa tuzo ya best photographer that year ila its true finnaly alijisuicide commit kwa kuona kitendo cha kumshuhudia mtoto akiliwa mpaka kufa it was not Humanity
 
Kuna hii piaView attachment 244341View attachment 244341

Wapiga picha sijui walitoa msada gani kwa watu hawa

Jamaa aliyepiga picha ni mzungu from south africa na alijiua badae coz of guilty. Alijuta kutomsaidia huyo mtoto so akaona afadhali kujiua. Ilikua picha ya mwaka that year..that kid alikua akielekea kituo cha kutolea msaada wa chakula kilichokua few kms from there. So sad
 
yes i got dat ilikuwa kwenye 1990's sikumbuki excactly year but uyu jamaa alopiga picha alipewa tuzo ya best photographer that year ila its true finnaly alijisuicide commit kwa kuona kitendo cha kumshuhudia mtoto akiliwa mpaka kufa it was not Humanity

Nadhan ilikua Ethiopia. ..ila huyu mtoto alipona...
 
Hii icha ilivyosambaa watu, hasa asasi za kiraia walilalamika eti kwa nini mpigapicha alikimbilia kupiga picha badala ya kumsaidia dogo kwanza

Unasema "eti" seriously? Kwani we ungemshauri nini mpiga picha? Coz "eti" means u have another better plan
 
Hii icha ilivyosambaa watu, hasa asasi za kiraia walilalamika eti kwa nini mpigapicha alikimbilia kupiga picha badala ya kumsaidia dogo kwanza

Na huu ndo unyama tunaofanyiana sisi siku hizi...kwenye ajali na matatizo tunakimbilia kupiga picha na kuziwekwa kwenye mitandao...
 
Picha kama hizo siwezi kuhifadhi kwa simu wala pc yangu

Huko heaven kumejaa watu wengi sana waliokufa pasipo na hatia yeyote
R
I
P
Mwangosi
 
Dogo aliliwa na mpiga picha baadae alijiua.kwa kuhisi alifanya kosa kwa kupiga picha na kuondoka baada ya kutomsaidia.

Acha uongo. Alijiua kwa moshi wa gesi chafu kwny gari take baada ya stress za kupigika wakati ana jina na matuzo ndani
 
Back
Top Bottom