Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

Sio kwa kumwangalia TU uwanjan ni mtu nimegusa nae ball namfahamu vzuri tu
UMbo lake halimzuii kucheza nafasi yoyote ile. Body yake ni perfect fit ya position yoyote sijui labda mantiki yako ni ipi? Au ungependa nikutajie wachezaji wenye umbo kama lake wanaokichafua mbaya kwenye DM
 
Akamgoogle Boussoufa raia wa Morroco alivyokuwa anakichafua dimba la kati.
 
Wanaojua mpira wamekusaidia

mwisho wa siku Kocha Mecky Maxime hakuwa na namna maana tayari alishaonesh kadi ya njano kutokana na kucheza rafu nyingi kwa wachezaji wa Yanga.

Huenda angeachwa mpaka mwisho, angeweza kupewa kadi ya pili ya njano na hivyo kutolewa kwa kadi nyekundu.
Hata yeye mwenyewe (Kevin Nashon) amekiri katika mahojiano baada ya mpira kwisha kuwa Aziz Ki ni balaa sana. Amesema alipata shida sana kumdhibiti kiasi kwamba angeweza kupata kadi nyekundu angeendelea kuwapo kiwanjani.
 
Jamaa alitaka kuonesha kuwa ni upendeleo kwa Yanga ndiyo sababu ya kumuondoa. A stupid thinking
 
Back
Top Bottom