Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
UMbo lake halimzuii kucheza nafasi yoyote ile. Body yake ni perfect fit ya position yoyote sijui labda mantiki yako ni ipi? Au ungependa nikutajie wachezaji wenye umbo kama lake wanaokichafua mbaya kwenye DMSio kwa kumwangalia TU uwanjan ni mtu nimegusa nae ball namfahamu vzuri tu
Akamgoogle Boussoufa raia wa Morroco alivyokuwa anakichafua dimba la kati.UMbo lake halimzuii kucheza nafasi yoyote ile. Body yake ni perfect fit ya position yoyote sijui labda mantiki yako ni ipi? Au ungependa nikutajie wachezaji wenye umbo kama lake wanaokichafua mbaya kwenye DM
Hata yeye mwenyewe (Kevin Nashon) amekiri katika mahojiano baada ya mpira kwisha kuwa Aziz Ki ni balaa sana. Amesema alipata shida sana kumdhibiti kiasi kwamba angeweza kupata kadi nyekundu angeendelea kuwapo kiwanjani.Wanaojua mpira wamekusaidia
Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute
Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo huyu ni fundi hasa lakini haheshimiki, hana bahati. Mzamiru Yasin ambaye ni kiungo punda hakabi...www.jamiiforums.com
mwisho wa siku Kocha Mecky Maxime hakuwa na namna maana tayari alishaonesh kadi ya njano kutokana na kucheza rafu nyingi kwa wachezaji wa Yanga.
Huenda angeachwa mpaka mwisho, angeweza kupewa kadi ya pili ya njano na hivyo kutolewa kwa kadi nyekundu.
Jamaa alitaka kuonesha kuwa ni upendeleo kwa Yanga ndiyo sababu ya kumuondoa. A stupid thinkingHata yeye mwenyewe (Kevin Nashon) amekiri katika mahojiano baada ya mpira kwisha kuwa Aziz Ki ni balaa sana. Amesema alipata shida sana kumdhibiti kiasi kwamba angeweza kupata kadi nyekundu angeendelea kuwapo kiwanjani.