..na bado wanapewa na marupurupu mengine mengi tuu....kulinganisha na mtu anayelipwa kima cha chini....kama pale tanzania postal bank mtu wa kima cha chini as karani analipwa tsh 250,000 kw amwezi hapo ana watoto 2 nyumba ya kupanga and stuff like that imagine na life ya tanzania ambayo mkate mtu ananunua kwa tsh700.00,Soda tsh 50.00,nyama kilo tsh 4,000,maziwa ya kopo t sh 700.00 a;afu mtu analipwa tsh 250,000 kwa mwezi hata saving account hana...checking aacount lazima iwe na insuffient funds.... na hao wakurugenzi ndiyo wanakura raha tuu kiyoyozi 24/7 they dont care about shit....alafu unasema bongo tambarare....