Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Dah kweli JF MMU ni kisima cha elimu. Haya kwa ninavyowasoma hapa ni kama vile mnanilazimisha niamini kuwa fate ya mwanamke kutongozwa na kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzie iko mikononi mwa mwanaume!!! Yaani mwanamke hana jinsi wala uwezo wa kujithamini bali anasubiri kuthaminiwa na mwanaume hata kama ni kwa unafiki!

Yeah umesema kweli Kaunga na kongosho kuwa pengine mwanamke huyo anategemea kuwa upgraded to someone else kuwa hata yeye anapokubali kuingia na kulala kitandani kwa mwanamke mwenzake huwa analo lengo lake.................kuivunja ndoa ya mwenzake na kumpindua mwanamke mwenye nyumba. So ni sawa na kusema kuwa kwa mwanaume ukimkaribisha hawara nyumbani kwako akakubali jua kuwa yuko on a special mission si ndio??
 
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!

Hebu tujiulize kwa nini hakuleti nyumbani hapo wakati mkewe yupo? Jeuri hiyo hana kwa kuwa- ANAMPENDA MKEWE na HAYUKO tayari kumpoteza kwa sababu YAKO. Wewe utabakia kuwa mwanamke wa kupoza MHEMKO wake siku zote na katu hutoifilia hadhi ya MKEWE.


Tahadhari, Chukua Hatua!

.....kama mnajikubalisha it's ok kutembea na mume wa mtu, kuna ajabu gani kidosho kuletwa kwenye kitanda cha ndoa?

Samaki kaozea kichwani huyu,....mie bado sijaona mwatoa povu la nini. It is either mkatae uzinifu na wake/waume za watu.....au mjikubalishe yote. Binafsi, hakuna machungu yenye nafuu....haijalishi wamefanyia gesti, chooni, garini. Au kitandani....

Ame cheat, that's it!
 
Yaani mwanamke hana jinsi wala uwezo wa kujithamini bali anasubiri kuthaminiwa na mwanaume hata kama ni kwa unafiki!
Kwa upande wangu ingredients za upendo ni pamoja na Trust, Heshima na Kutopenda kumuumiza mwenza wako.., hivyo basi yoyote aliye kwenye ndoa / mahusiano ni jukumu lake kulinda ndoa/mahusiano yake.., huyu msala upitao inabidi watu walio kwenye relationship waepuke (hata kama hawawezi basi fanya kwa siri na sio kufanya wazi wazi)...

Saying that does not matter aliyecheat kama ni mwanamke au mwanaume.., (yule aliyekwenye ndoa awe mwanaume au mwanamke ndio wa kulaumu zaidi) sababu amevunja trust.., yule third party tunaweza kumlaumu tu kwamba anavunja mahusiano ya watu wawili (and what goes around comes around) lakini she owes you nothing, cha kuweza kufanya kama analeta temptations ni kumuepuka na sio kutaka kumbadilisha kuwa angel (kama mtu uliyefunga nae ndoa, amediriki kuzini ije kuwa mtu baki ?) after all it takes two to tango
 
Dah kweli JF MMU ni kisima cha elimu. Haya kwa ninavyowasoma hapa ni kama vile mnanilazimisha niamini kuwa fate ya mwanamke kutongozwa na kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzie iko mikononi mwa mwanaume!!! Yaani mwanamke hana jinsi wala uwezo wa kujithamini bali anasubiri kuthaminiwa na mwanaume hata kama ni kwa unafiki!

Yeah umesema kweli Kaunga na kongosho kuwa pengine mwanamke huyo anategemea kuwa upgraded to someone else kuwa hata yeye anapokubali kuingia na kulala kitandani kwa mwanamke mwenzake huwa analo lengo lake.................kuivunja ndoa ya mwenzake na kumpindua mwanamke mwenye nyumba. So ni sawa na kusema kuwa kwa mwanaume ukimkaribisha hawara nyumbani kwako akakubali jua kuwa yuko on a special mission si ndio??

MwanajamiiOne please,

Hebu tusome tena na tena...Kuna mahali nimeongelea mgawanyo wa lawama....Mwanamke wa namna hiyo ([MENTION]Kaunga[/MENTION] kamwita OW) anastahili lawama ila kama tu alikuwa anajua huyo bwana ni mke wa mtu na wanaenda kutumia chumba + kitanda cha mke wake!!

Ila linapokuja suala la kushikishana adabu...please deal with your so called Soulmate perpendicularly badala ya kujaribu kuhangaishana na huyo OW...Kwani kuna mahali Kaunga kaeleza vizuri tu kwamba ukiweza kumalizana na huyo OW diplomatically bila kukata mzizi wa tatizo, basi subiri kuanza bifu na OW2, OW3.........OW(n).

Uko tayari kwa kutatua tatizo kwa njia hiyo?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
.......anapokubali kuingia na kulala kitandani kwa mwanamke mwenzake huwa analo lengo lake.................kuivunja ndoa ya mwenzake na kumpindua mwanamke mwenye nyumba. So ni sawa na kusema kuwa kwa mwanaume ukimkaribisha hawara nyumbani kwako akakubali jua kuwa yuko on a special mission si ndio??

....ofkoz!

Chk ur initial reaction mwanajamiiOne.....wewe umeona umfungashie virago mumeo aende mwana kwenda.....

Unajua 'costs' za hiyo decision yako? .....au maamuzi yako yali base na hasira kwanza? All in all, mtu yoyote iwe mume au mke anapoamua ku cheat ujue ameamua kwa akili yake timamu....Not ati ajidai he/she was under influence....

Wenzako huachwa kitandani usiku wa manane mume ananyatia chumbani kwa hse girl.... Mtusamehe tu kina mama, we can only think with one 'blood filled' head!
 
MwJ1, kigezo cha kusema u-deal na mwenye mkataba na ww ni kwa sababu huwezi kujua hao wawili wameambiana nini. Anaweza kuwa bibie siku zote anakuwa dated anaambiwa maneno ya kumfanya ajisikie yeye ndo anamilikishwa nyumba. Ulishawahi kuwaza kuwa huyo small house huenda kamuambia mumeo 'staki kuchezewa, kama kweli uko alone nakuja kwako kulala', na dada wa watu akakaribishwa?
 
MwanajamiiOne please,


Ila linapokuja suala la kushikishana adabu...please deal with your so called Soulmate

Babu DC!!

.....😱kha? .....hivi wewe MwanajamiiOne isijeikawa kesi yako hii inanichafulia tu CV yangu humu bana.

Jamani ee....alofumaniwa si mie mbu ibn moskwito, na kama MwanajamiiOne ana soulmate mwingine mie mbado kujua...😀
 
Last edited by a moderator:
Hapo pekundu napakosea neno.

Mara nyingi nimegundua sisi wanawake tunakimbilia kuwalaumu wanawake wa nje wa waume zetu.
Kuna mtu alikua anafikiria kila mbinu za kumkomoa mwanamke wa nje wa mumewe,nikamwambia hiyo siyo dawa wa kupambana naye ni mumeo,akasema kamwe hawezi kugombana na mmumewe bali atawakomesha wanaomuibia mumewe.
Baadhi ya hawa waume wanafanya ndio wakulaumiwa,wengine wanatongoza wanawake huko nje wakisema wako single na siku hizi wanaume wengi tu hawataki kuvaa pete zao za ndoa,kabla ya kuwalaumu hawa wanawake wa nje tujiulize huwa wanaambiwa nini na waume zetu hadi wanakubali kujiamini kuja hadi vyumbani mwetu,japo wapo wanawake makauzu hata akijua huyu ni mume wa mtu hajali ila wapo ambao wanadanganywa kuwa sina mke na vitu kama hivyo.
Kwenye kesi kama hii wakulaumiwa ni mume tu na sio mtu mwingine yoyote yule.

Halafu mi naona kama hawa wanaume wanapata kichwa maana kosa afanye yeye halafu lawama zielekezwe kwa mwingine no wonder hawacheat tena na tena.
queenkami nimekugongea like kwa kukumbuka comment yangu niliyotoa kwenye post yako, ila kuna kitu ambacho umekiongezea sikusema kuwa mwanaume hakosei...............anyway haya tuyaache tuje hapa kwa MwanajamiiOne...........swala la nani alaumiwe bado nalitupa zaid kwa mwanamke kwasababu nyingi sana ambazo kwangu mimi najua wengi mta zicritisize but kwa wenye ndoa za zaid ya 10 yrs watakubaliana na mimi.

Hivi labda tujiulize, nani atakaye mkomboa mwanamke? Jibu hapa lipo wazi sana kwamba mwanamke atakombolewa na mwanamke mwenzie na hii ipo tu ni nature. sasa tujiulize kivipi? Mwanamke atamkomboa mwanamke mwenzie kwa kuwa na umoja, ushirikiano na upendo na heshima miongon mwao. Mambo haya manne yakitumiwa vizuri na wanawake definately ukombozi ni lazima wala hautakawia. Dhana ya kwamba mwanaume ndiye mkombozi wa mwanamke mm huwa sikubalian nayo kabisa katika maisha yangu.

Kasheshe ni kwamba wanawake tuko kinyume kabisa na haya mambo 4 niliyoyaeleza na matokeo yake ni ksubiri huruma tu ya mwanaume. wanawake wakipendana kwa dhati definately hakuna atakaye tembea na mume wa mwenzie na tukishirikiana kwa umoja basi hawa waume wangekuwa wanashindwa hata kutongoza.

On the other hand mwanaume afanyaye haya ni kwamba ni mbinafsi sana na wala hajali hisia juu ya kumuumiza mwenzie kitu ambacho mimi kama mwanamke ningetafuta alternative ya kuish ili kupunguza karaha.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bize kichwa kikubwa kinashut down?

Okay, it's a cheap excuse lakini ndio hali halisi, sasa wewe uliyeletewa ndani ndi uamue kama una kifua cha kubeba.
Mwanamme anaweza leta mwanamke ndani lakini si kwamba hampendi mkewe ila ndo keshamleta hawara ndani.

Sidhani kama ni kweli kabisa...mtu anayefanya hivyo ni poyoyo tu. Utaanzaje kuingia na mwanamke mwingine ndani ya nyumba yako halafu ukalala kitanda kile kile anacholalia mkeo?
Kichwa kidogo kikifanya kazi ujue kichwa kikubwa ndo kinakuwa na kazi kubwa zaidi kuliko unavyofikiria
 
.....kama mnajikubalisha it's ok kutembea na mume wa mtu, kuna ajabu gani kidosho kuletwa kwenye kitanda cha ndoa?

Samaki kaozea kichwani huyu,....mie bado sijaona mwatoa povu la nini. It is either mkatae uzinifu na wake/waume za watu.....au mjikubalishe yote. Binafsi, hakuna machungu yenye nafuu....haijalishi wamefanyia gesti, chooni, garini. Au kitandani....

Ame cheat, that's it!

Duuuuhhhhh,

Kaka hapa naona umeamua kuhamisha magoli......Cheating haivumiliki ndiyo, ila wewe huoni tofauti kati ya kwenda kujificha kichakani (enzi zetu) na kufanyia lounge (bed room)???

Babu DC!!
 
MwJ1, kigezo cha kusema u-deal na mwenye mkataba na ww ni kwa sababu huwezi kujua hao wawili wameambiana nini. Anaweza kuwa bibie siku zote anakuwa dated anaambiwa maneno ya kumfanya ajisikie yeye ndo anamilikishwa nyumba. Ulishawahi kuwaza kuwa huyo small house huenda kamuambia mumeo 'staki kuchezewa, kama kweli uko alone nakuja kwako kulala', na dada wa watu akakaribishwa?

Kweli kabisa dada,

This is possible!!

Babu DC!!
 
akufukuzaye hakuambii toka,na dalili ya mvua!hivi nini tena kitakachoweza kufanywa na mmeo ujue hakutaki hakuthamini na haoni umuhimu wako kama si kuleta mwanamke nyumbani,yaani bahati mbaya za gesti sawa lakini nyumbani!imwenye maana ni aliyeletwa,
 
Hhmmm. . .yamekukuta yepi tena mami?

Ubaya ni kwamba wote wanakua wamechafuka . Yani mke nae analalia uchafu wa kimada sijui ndio hawara. HASARA TUPU. Alafu hii habari ya kusema eti 'mume wangu ananipenda na hataki kunipoteza ndo maana aliniletea mwanamke mwingine chumbani kwetu, kwenye kitanda tunacholalia pamoja wakati sipo' sikubaliani nayo. Unless kupenda kunawezekana bila heshima. Yani mtu anakupenda ila anakudharau. . .
Tulia wewe!
 
kuna possibilities nyingi mno
inawezekana pia mume kaona 'vitendo'
ndo njia iliyobaki ya kumwambia mkewe 'its over'
'sikutaki'
na mke ndo king'an'ganizi?

sitendei kitendo

but huwezi sema kuna ndoa imara halafu mume analeta mtu mwingine kitandani...

haya ni matendo 'ya shari na kuoneshana'
 
Again. . .kama unaweza ukampenda mtu na bado ukamdharau basi wana mapenzi mengi tu kwa wake zao, hivyo wasilalamike watulie tu maana wanapendwa. Kuchafuliwa shuka kitu gani bana kama mume anakupenda. . .si utanunua mpya?

Alafu usisahau kwamba aloletwa anaweza hata asijue jamaa kaoa.
We mbona kila kukicha unaletewa hawara nyumbani na nannannhii na bado umo tu,nasikia unadai kisa watoto?
Amka wewe!
 
Kongosho my Sisy, nitakuelewa iwapo umebebwa kutokea Corner Bar Ambiance pale, Ohio au Q Bar..... but kwa mwanamke ambaye umekuwa na hopes kuwa one day, only one day utakujammiliki huyu mwanaume kwa kweli ni kujishushia hadhi.......... ukalalie kitanda ambacho mwenzako amekuwa akipewa na kutoa starehe hapo.........and who knows may be the same sheets were used the night before or two to three hours ago????

I know wanaume hawajali probably they do not even recognize au notice that but wewe kama mwanamke (ndio haikuexempt kwenye kundi la vyangu kwa kutembea na mume wa mtu budt Gossssh!!akulete nyumbani, chumbani, kitandani and probably kwenye same sheets alizolalia na mke wake!!!
Come on mwanajamiiOne,shuka za hoteli na guest mbona huwa unashea bila kujua nani katumia jana.? Inahuu?
 
Dah! kuna watu wana mioyo ya chuma..... Haogopi? Sleeping with him is another matter, kwenda kujivinjari kwenye kitanda cha mkewe ni kujitakia nuksi na kifo aisee.... Kuna mambo mengine hayatakiwi kuvukika. Hilo ni moja wapo.

Enways ogopa sana mwanaume ambae ana guts za kukupeleka kitanda ama nyumbani kwa mkewe kulala na wewe, hata ile tu kuwakutanisha na kuwatambulisha. Sema tu wanawake tupo so selfish na kila mmoja hutaka kujiona ni wa maana kuliko mwanamke mwenzie hata ambapo papo wazi. Huwezi shindana na nafasi ya mke hio ni period! Hata ufurukute vipi... Labda awe mwanaume ambae hana heshima kwa wanawake wote au wawe na personal issues.
Ushawahi kulamba dem kwenye lift? Tena ya kitega uchumi?
The fear...the passion...ulijisikiaje? Ndo hivo inakuwa mwanamke akilala kwenye kitanda cha mwanamke mwenzie.
We usiwasikilize hawa kina MJ1.
 
Back
Top Bottom