MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #81
Dah kweli JF MMU ni kisima cha elimu. Haya kwa ninavyowasoma hapa ni kama vile mnanilazimisha niamini kuwa fate ya mwanamke kutongozwa na kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzie iko mikononi mwa mwanaume!!! Yaani mwanamke hana jinsi wala uwezo wa kujithamini bali anasubiri kuthaminiwa na mwanaume hata kama ni kwa unafiki!
Yeah umesema kweli Kaunga na kongosho kuwa pengine mwanamke huyo anategemea kuwa upgraded to someone else kuwa hata yeye anapokubali kuingia na kulala kitandani kwa mwanamke mwenzake huwa analo lengo lake.................kuivunja ndoa ya mwenzake na kumpindua mwanamke mwenye nyumba. So ni sawa na kusema kuwa kwa mwanaume ukimkaribisha hawara nyumbani kwako akakubali jua kuwa yuko on a special mission si ndio??