Khadija Kopa atoa ya moyoni kuhusu fununu za mahusiano ya mwanaye Zuchu na Diamond Platnumz

Khadija Kopa atoa ya moyoni kuhusu fununu za mahusiano ya mwanaye Zuchu na Diamond Platnumz

Yaani kuanzia leo nimejitolea kua kaka yako wa hiyari, yoyote atakae kuvunjia heshima we nijulishe tu nitadeal nae perpendicular.
Sawa dada ake?
Shukrani kaka🥰
 
Diamond naye sijui anakwama wapi KUOA kazi yake kuvicharaza vibinti [emoji23] na anawatafuna sana haloo
lisemwalo lipo, kama halipo laja

Vigezo vyote vya kuoa Mondi anavyo sasa sijajua nini tatizo, au anaogopa akioa atashuka kimuziki (sidani), au majukumu(sio wa kushindwa yule) au ndio masharti ya upande ule....

NB: Chawa wa WCB msinitukane ni mtazamo tu msijenge chuki[emoji1787]
Kigezo nambari moja ni UTASHI nakushangaa unayelazimisha kuwa vigezo vyote anavyo
 
Wanawake wa kuolewa wapo kweli? Kwa lifestyle na kazi ya diamond inahitaji mwanamke mtulivu na asiye kwenye mitandao au muziki au bongo muvi au socialite.

Pia asiwe Hawa wanaotaka kutoka na mashosti kwenda kushinda mahotelini na kwenye maisha ya camera.

Infact mwacheni dogo ale maisha mtamuingiza kwenye wanawake washenzi wakamuharibia Target zake za maisha kama watoto anao wanne tayari so haisumbui.
 
Diamond naye sijui anakwama wapi KUOA kazi yake kuvicharaza vibinti 😂 na anawatafuna sana haloo
lisemwalo lipo, kama halipo laja

Vigezo vyote vya kuoa Mondi anavyo sasa sijajua nini tatizo, au anaogopa akioa atashuka kimuziki (sidani), au majukumu(sio wa kushindwa yule) au ndio masharti ya upande ule....

NB: Chawa wa WCB msinitukane ni mtazamo tu msijenge chuki🤣
Life begins at 40.
 
Back
Top Bottom