Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Akioa tu FREEMASON wanachukua mari zooote na Umaarufu unapoteaDiamond naye sijui anakwama wapi KUOA kazi yake kuvicharaza vibinti [emoji23] na anawatafuna sana haloo
lisemwalo lipo, kama halipo laja
Vigezo vyote vya kuoa Mondi anavyo sasa sijajua nini tatizo, au anaogopa akioa atashuka kimuziki (sidani), au majukumu(sio wa kushindwa yule) au ndio masharti ya upande ule....
NB: Chawa wa WCB msinitukane ni mtazamo tu msijenge chuki[emoji1787]
diamond ni FREEMASONS mkubwa
huyo msela pichani ndio kaniambia hayo mambo
yeye pi ni FREEMASONS
hapo yupo katika jumba lake lipo mbezi beach pembezoni mwa bahari