Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Akioa tu FREEMASON wanachukua mari zooote na Umaarufu unapoteaDiamond naye sijui anakwama wapi KUOA kazi yake kuvicharaza vibinti [emoji23] na anawatafuna sana haloo
lisemwalo lipo, kama halipo laja
Vigezo vyote vya kuoa Mondi anavyo sasa sijajua nini tatizo, au anaogopa akioa atashuka kimuziki (sidani), au majukumu(sio wa kushindwa yule) au ndio masharti ya upande ule....
NB: Chawa wa WCB msinitukane ni mtazamo tu msijenge chuki[emoji1787]
Kama unaamini mambo kama haya kwenye maisha yako utafika mbinguni umechokaAkioa tu FREEMASON wanachukua mari zooote na Umaarufu unapotea
diamond ni FREEMASONS mkubwa
huyo msela pichani ndio kaniambia hayo mambo
yeye pi ni FREEMASONS
hapo yupo katika jumba lake lipo mbezi beach pembezoni mwa bahari View attachment 2067351
Ana miaka 33NA ANAKARIBIA BILA SHAKA
hawezi kuoa huyu, mamake hawezi kukubali kijana wake aoeDiamond naye sijui anakwama wapi KUOA kazi yake kuvicharaza vibinti 😂 na anawatafuna sana haloo
lisemwalo lipo, kama halipo laja
Vigezo vyote vya kuoa Mondi anavyo sasa sijajua nini tatizo, au anaogopa akioa atashuka kimuziki (sidani), au majukumu(sio wa kushindwa yule) au ndio masharti ya upande ule....
NB: Chawa wa WCB msinitukane ni mtazamo tu msijenge chuki🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchi ina vituko hii mweehKumtongoza mtu ni kumvunjia heshima[emoji2955]Kweli kuwa uyaone sikuwahi kujua hili
Omary alipelekewa moto?Huyo maza yule kijana wake Omary alikua anapelekewa moto ovyo tu kwenye mataarabu huko vyooni anamtetea.
Sishangai kwa zuchu
Aliolewa kabisa,na kavuta kwa issue hizo.Omary alipelekewa moto?
Itakua labda maana tukiwaita au kuwasimamisha barabarani tukianza kutema vocals waatutukana ,wanatusonyaKumtongoza mtu ni kumvunjia heshima[emoji2955]Kweli kuwa uyaone sikuwahi kujua hili
Ila ukienda kwao na ukawachana laivu ule msemo wa Simba mkali lakini anazaa watakuelewa tu😂Itakua labda maana tukiwaita au kuwasimamisha barabarani tukianza kutema vocals waatutukana ,wanatusonya
Mwengine ukimtext ukatupa verse utaskia nilikuwa nakuheshimu kumbe looh huna haya
Rafiki wa Baba ako akikutongoza atakua hajakuvunjia heshima??Kumtongoza mtu ni kumvunjia heshima[emoji2955]Kweli kuwa uyaone sikuwahi kujua hili
Hakuna kati ya hao ulio wataja kwamba wakinitongoza watakuwa wamenivunjia heshima kueleza hisia jinsi unavyojisikia ni kuvunjia mtu heshimaRafiki wa Baba ako akikutongoza atakua hajakuvunjia heshima??
Mume wa Dada ako je??
Mchumba wa Rafiki yako kipenzi??
Vipi kaka yako binadamu?
Unaelewa nini kuhusu heshima??
Heshima ni nini??Hakuna kati ya hao ulio wataja kwamba wakinitongoza watakuwa wamenivunjia heshima kueleza hisia jinsi unavyojisikia ni kuvunjia mtu heshima
Sijui labla unielimisheHeshima ni nini??
Mbona we unawa kula wanawake wenzio je unaelewa Nini kuhusu heshimaRafiki wa Baba ako akikutongoza atakua hajakuvunjia heshima??
Mume wa Dada ako je??
Mchumba wa Rafiki yako kipenzi??
Vipi kaka yako binadamu?
Unaelewa nini kuhusu heshima??