Khadija Kopa: Kuna kuzaa na kunya, mtoto hata akiwa anacho kidogo anakuona

Mama mwenyewe mswahili huyo.
Na gongo alikuwa anapiga
Ndo mama zetu hawa
 
Hata na yule mwanae aliyekuwa mchicha mwiba pia alizaa hakunya
 
Namuunga mkono KHADIJA, wewe kama hujali mzazi wako kutwa kucha Kitambaa cheupe na milupo una faida gani kwa mzazi?
Mtangazaji alipaswa amuulize mwanae alifariki muimba taarabu marehemu Omari Kopa alimzaa au alimkunya!?
 
Kaongea ukweli tatizo lugha aliyotumia. Kuna watoto hawakumbuki kabisa wazazi wao.
 
Ni
Ni kwel mana alikunya yule mwanae omari kopa ambaye alikufa kwa ukimwi kwasababu ya ushoga akiwa na miaka 23 tu
 
Duh mbona maneno?
 
Ni

Ni kwel mana alikunya yule mwanae omari kopa ambaye alikufa kwa ukimwi kwasababu ya ushoga akiwa na miaka 23 tu
Hiv kumbe alikua na mtoto mwingine mbali na Zuchu? Sikuwah jua hili.
 
una IQ ndogo sana!!
 
Wasaidieni wazazi wenu punguzeni mbambamba..
Namuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…