Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

Ni upumbavu kutangaza dhambi ulizofanya kwa kisingizio cha kutubu.

Hakuna mkamilifu hapa duniani jua hilo,hivyo kila uanayemuona ukidhani ni mtakatibu ndio inakuja dhana ya kwamba akikosea aseme hadharani.

Kama kila mtu ni mkosaji basi hakuna haja ya kuyatangaza mabaya yako,malizana kivyako na Mola wako
 

Unamfunza mwenzio kuwa na lugha nzur hali ya kuwa comment ya juu umetoka kutoa lugha kali ? Hivi kweli vichekesho.
 
Hiki alichofanya kisheria inaitwa extra judicial confession, kimsingi anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria na akahukumiwa kwa ushahidi alioutoa dhidi yake mwenyewe tena bila kushurutishwa.

Mambo mengine yakifanyika jamii inaweza kuanza kumtetea bila kujua alichofanya kina impact kubwa sana kisheria especially sheria ya jinai dhidi ya utoaji mimba maana bado Sheria yetu inakataza kutoa mimba na kuna adhabu Kali sana.

Hawa wasanii ni vema wawe wanajiandaa kutoa hizi statement zao maana Zina impact kubwa kisheria na kijamii.
 
Sahihi
 
Dah!...ila aliyetoa 'ameua' aliyebambika amelinda uhai japo 'ameongopa'.
Zote ni dhambi, na chanzo chake ni mimba zisizotarajiwa. Inaweza kuwa ajabu lakini ndivyo ilivyo, wanawake hawana utawala juu ya matumbo yao ya uzazi.
Hata wanawake matured above 40 wengi wanabeba mimba bila kutarajia licha ya uwepo wa njia za kuzuia mimba.

Sasa nini kifanyike kuepusha wanawake wasitumie abortions & paternity fraud kukabiliana na mimba isiyotarajiwa?
 
Umewapiga waprotestant kwenye mshono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mila ni za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli nimpongeze sana mama yangu Khadija kopa, Mimi nasikiliza sana nyimbo zake na nyimbo ambayo naikubali ni Ile aliyofanya na diamond pamoja na aslay.

Mathalani na hapo ni jasiri na ana maono na mabinti wa sasa ndo maan akatoa ushuhuda na kuwakanya mabinti wenye mawazo kama hayo.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Tatizo mapadri ukiungama wanakwambia umesamehewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…