Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Harmo baada ya kajala, nyota iliangukia kwa feza kessy ila tu feza alijichanganya kwa kutumika kama escort na Rayvanny kwenye party flani.

Ningekuwa manager wa feza, ningemshauri apambane na rumours za harmo ili aingie mjini zaidi. Pure showbusiness
Ngoja kwanza, kwamba Vanny Boy nae alipiga?
 
Yaan kumbuka asiliwee? Huyu wa kutaka kumpora mwanamke mume? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamzungumzia kumbuka yupiii wee??
Ule utetezi wake kwa yule kijana aliyeenda kushtaki kwa Mange kufanyiwa nae mchezo mbaya nilicheka sana, yani mno!
 
Mbona huwa anacomment sana kwenye threads zangu? Ila ndio mpaka habari imkune kwelikweli!
Mi hiyo siku nilishangaa alipocomment 🀣🀣
Duuu me sijawai kutana na mchango wake hadi nimekuwa nikihisi ni robot la likes
 
Hersi itabidi aingilie hili kati kama alivyoingilia kwa Dogo wa ugali sukari na Juma Lokole!

Nyie hamjui tu, chanzo kikuu ni dogo kukatazwa mahusiano na Juma Lokole πŸ₯±
Mbna Fei hata hakudate na lokoleee? Usije ona Paula alisema kuwa lokole anadate na mcheza mpira, bas lokole aliyekua ana date nae ni wa Azam, na waliachana baada ya mchezaji wa Simba kuingilia pale.

Nweiii fei mwenyewe ni versatile, anakula na kuliwa, si alikua analiwa na yule aliyepo simba sahv.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…