Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

"Nakuja, ila sio kwa kukimbia, natembea taratibu, nikikimbia nitaanguka na miguu enyewe haina vidole"

Wee uliandika "kimbia njoo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah nilikwambia kimbia njoo

wEwe hauna vidole vya miguu? Mbona kutishana
 
Yeye ni mke wa mtu, elewa mke wa mtu.
Hizo story zenu za vijiweni, mtuachie sie tunao wajua.

Au kisa cha yule dogo ndo mnasema haliwi? Unajua maana ya "versatile"?
Yap najua anaekula na kuliwa au mchicha mwiba.afu nyi mashoga b
hamna huruma kuna demunmm
Aliendekeza urafiki na shoga mmoja akamfumania mmewe anamla cha ajabu jamaa kamuacha mke kampangia nyumba shoga .
 
Harmonize hajamwimbia wimbo wa side nigga huyo demu,halafu huyo demu harmonize alimla kipindi kile cha video ya single again,baada ya hapo mmakonde akamute😂 demu ndo alianza kumsumbua harmo mixa kujipostisha kwenye ig harmonize,mmakonde akafuta fasta maana harmonize alilewa walikuwa club demu akachukua simu akajipostisha..sasa hv mmakonde yupo humu jamaa anapenda ma.ta.ko balaa
Inawezekana anapenda ndogo...na mademu wa sasa hivi wengi wanatumika milango yote hususani ukiwa na pesa
 
Yap najua anaekula na kuliwa au mchicha mwiba.afu nyi mashoga b
hamna huruma kuna demunmm
Aliendekeza urafiki na shoga mmoja akamfumania mmewe anamla cha ajabu jamaa kamuacha mke kampangia nyumba shoga .
Huruma kvp? Kwan hao wanawake wenyewe hawaibiani mabwana?
Tatizo sio B, Tatizo ni mumewe, hata B wenyewe kwa wenyewe wanakwapuliana mabwana.

Ktk life langu, hakuna rafiki anae mjua baba tamu angu, iwe ke au B, noo baba tamu angu kujulikana kwa mashost zangu.

Ila B wanaotembea na waume za watu, wananshangazaa, hawaogopi kurogwa? Mbaya zaidi ukute na mkewe anamfahamu, khaaaah.

Big nooo
 
Heheheh hallowwww!!!

Bas mkuu wa mkoa fulani anabutuaa palee.
Niliupata ubuyu kwa kuaminika, sikuchoka kwake, ila kwa mkuu wa mkoa, alivyo hafananiii

Ndo maana nkaanza kuamini, sku hizi u gay watu wanatumia ktk mambo ya ushirikina. Sio kwa yule baba jamani khaaah
Kwa nani sasa, PhD au huyo dogo P?
Mkuu wa Mkoa tena? Kuna mtu alisema hapa Mbunge!
 
Mbna Fei hata hakudate na lokoleee? Usije ona Paula alisema kuwa lokole anadate na mcheza mpira, bas lokole aliyekua ana date nae ni wa Azam, na waliachana baada ya mchezaji wa Simba kuingilia pale.

Nweiii fei mwenyewe ni versatile, anakula na kuliwa, si alikua analiwa na yule aliyepo simba sahv.
nyie nyie nyiee,embu leteni huo ubuyu basi
 
Sijui ila ni kama Ray alimtumia feza kufanya appearance kwenye event kwa sababu ingetengeneza attention kwake. Alifanikisha hilo ila kwa feza sidhani kama harmo angeweza tengeneza kiki nae tena kwa kutumiwa na hasimu wake kwa wakati ule

So, feza hakupiga hesabu zake vizuri, angestick na kiki ya harmo ingempa mileage
Oooh sasa nimekuelewa.
Kumbe kuonekana na Vanny ndiko kulikomuharibia!

Ila mimi katika ubuyu ninaousubiri kwa hamu kutoka kwa Mange ni zile video za Lulu na Vanny, unaambiwa walirekodi kabisa!
Mange alitoa dau hadi la 5M!

Siku akizipata itakuwa balaa!
 
GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.

Huyo msaniii nae poyoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba alikuwa anahudumu hapo saloon?
 
Wee emu nirudi kwa fudenge nkaulize kuhusu fei na lokolee, mbna sina habari? Ingekua kweli mbna ningeshajua woiiiiih
Nenda kaulize vizuri, Lokole alijua kulipambania hilo penzi la kishetani 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wachezaji wanapeana pisi na hawaulizii.
Sijui hawapati mda wa kutongoza, wanakuwadiana tyuuh.
Jamani tuambieni basi wa Diarra na Aziz Ki.
Niffer alivyojisogeza kwa Diarra sijui ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom