Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani yule kaka nisipomuona uwanja siridhiki kabisa naona kama vile tutafungwa tuKamachachariiiiii [emoji1787][emoji1787]
Mi huwa ananifurahisha tu, huwa nacheka sana fujo zake.
Mama Sanchi ni pambo la dunia kwa nyakati tulizopo. Niffer sijawahi kumuona LIVE zaidi ya mtandaoni. Huenda kweli make-up zinambeba. Ile Miss Tanzania ya 2006 iingizwe kwenye mtaala wa elimu.Kwamba Mama Sanchi ndio mwanamke wa maisha yako? 🤣🤣🤣
Kwa kuwa wewe ni mwanaume umesema sikupingi, ila mimi hiyo list ingeanza na 1. Caren 2. Uwoya 3. Niffer
Huyo Niffer hana lolote wewe makeup tu, kawaida sana, ungemuona kabla hajashika hela ungekimbia!
Hao wenzie ni wazuri haswa.
Wanaume hatuongeagi hii kauliAnaefaidi ni huyo manzi, anawachuna tu.
Na wanaume tunavopenda ushindani[emoji38] kila mmoja anataka aonekane dume
mzabzab amenifanya nicheke hadi machoziAtakuwa kama amepigwa bomu unataka kusema? [emoji1787][emoji1787][emoji1487]
Asante kwa ushaurMavuno mema, usisahau kuacha chakula nyumbani na akiba.
Familia ndio kila kitu.
nifundishe kipenzi maana nakauvivu chakuandikaIpo hujajua tu, tuulize wataalam.
Toka urekodi kwa simu uilete hapa kama file, simple sana.
Ewaaaa hawa watu wawili kwakwel wananikosha,sitakagi kumuona mshery au metacha kabisaaaaNimecheka mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni Diarra, ila sio kwamba namzimia, lah! Diarra asipokuwepo kikosini najua kabisa hapa leo sijui!
Hahahaha, ningeishasema siku nyingi tu,hizi kazi zenu nyieUtakaa tu kwenye mstari na utasema mwenyewe, chanzo changu hakina kazi mbovu 😜
Ndio maana basi, hana maajabu ndugu yangu. Na msanii wangu pendwa ameshafanya yake na kumbwaga! Hadi huruma masikini Niffer alimpenda sana jamaa!Mama Sanchi ni pambo la dunia kwa nyakati tulizopo. Niffer sijawahi kumuona LIVE zaidi ya mtandaoni. Huenda kweli make-up zinambeba. Ile Miss Tanzania ya 2006 iingizwe kwenye mtaala wa elimu.
Fake hizoKwanini?
Hahahaha, okHii ya Caren ni OG bwana.
Ambao sio wa kawaida wanakuwaje?Caren mbona wakaida mnoo
😆😆lina body nzuri ila boya tuBora hata Mshery, Metacha sitaki hata kumsikia!