Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Kwamba Mama Sanchi ndio mwanamke wa maisha yako? 🤣🤣🤣

Kwa kuwa wewe ni mwanaume umesema sikupingi, ila mimi hiyo list ingeanza na 1. Caren 2. Uwoya 3. Niffer

Huyo Niffer hana lolote wewe makeup tu, kawaida sana, ungemuona kabla hajashika hela ungekimbia!
Hao wenzie ni wazuri haswa.
Mama Sanchi ni pambo la dunia kwa nyakati tulizopo. Niffer sijawahi kumuona LIVE zaidi ya mtandaoni. Huenda kweli make-up zinambeba. Ile Miss Tanzania ya 2006 iingizwe kwenye mtaala wa elimu.
 
Mama Sanchi ni pambo la dunia kwa nyakati tulizopo. Niffer sijawahi kumuona LIVE zaidi ya mtandaoni. Huenda kweli make-up zinambeba. Ile Miss Tanzania ya 2006 iingizwe kwenye mtaala wa elimu.
Ndio maana basi, hana maajabu ndugu yangu. Na msanii wangu pendwa ameshafanya yake na kumbwaga! Hadi huruma masikini Niffer alimpenda sana jamaa!

Kwakweli Miss Tanzania top 5 yake iwekwe pale Makumbusho, ni muhimu kwa taifa na vizazi vijavyo kufahamu.
 
Back
Top Bottom