Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Wakiisha utafuata wewe
Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.

Tarehe 22 Machi 2004, kiongozi wa Palestina na mmoja wa waanzilishi wa Hamas, Ahmed Yassin, 67, aliuawa katika mji wa Gaza. Sheikh Ahmed Yassin - ambaye alitumia kiti cha magurudumu kwa sababu ya kuwa na ulemavu wa miguu tangu ujana wake - alikuwa akirejea kutoka kuswali Swalah ya Alfajiri, na masahaba zake pia waliuawa mara moja.
 
Attachments

  • IMG_9608.jpeg
    IMG_9608.jpeg
    650.6 KB · Views: 4
Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.

Tarehe 22 Machi 2004, kiongozi wa Palestina na mmoja wa waanzilishi wa Hamas, Ahmed Yassin, 67, aliuawa katika mji wa Gaza. Sheikh Ahmed Yassin - ambaye alitumia kiti cha magurudumu kwa sababu ya kuwa na ulemavu wa miguu tangu ujana wake - alikuwa akirejea kutoka kuswali Swalah ya Alfajiri, na masahaba zake pia waliuawa mara moja.
Unaenda lini kuungana na Hamas & Hizbollah kuwashughulikia Wayahudi?
 
Back
Top Bottom