Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Kufa halafu una shinda tena. Hii ni mpya kwangu
Palestina na gereza la wazi watu wate wana shida wamezaliwa kwenye kambi za wakimbizi, wewe upo Uyole nasikia una raha sana wewe na familia yako.
 
Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣
Kumbe Yahaya Siniwari kauliwa. Sasa mbona alikuwa akiishi kwa kujificha wakati haogopi kufa.

Halafu kwenye sizifaya (ceasefire) negosiesheni alitaka kipengere cha yeye kutowindwa au kuuliwa na wagalatia. Itakuwa alikuwa amechanganya na damu ya kigalatia huyu sio bure, hadi anaogopa kifo
 
Kupewa uongozi wa kundi la kigaidi hakuna tofauti na kufungwa mabomu/vilipuzi mwilini ili ukajitoe muhanga.Huna hiyari hata ukilia na kutia huruma.Ukipewa tu wewe ni "the number one walking dead "!Alale peponi kamanda in advance!
He is not the first, will not be the last. It is 76 years of struggling and resistance till victory ✌️
 
Hao Viongozi muwe mnaweka na elimu zao na vigezo vya kuwa Viongozi .........
Kila raia wa palestina ni mpigania uhuru anapambana nchi yake .Kupigania uhuru ni uzalendo tu Wala elimu haihitajiki. Wale wakina kinjekitile ngwale na mkwawa walikua hawana elimu yeyote
 
0822bad8cff08a4803d695f735e8ba96.jpg
images (32).jpeg
images (33).jpeg
 
Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣
Kumbe Yahaya Siniwari kauliwa. Sasa mbona alikuwa akiishi kwa kujificha wakati haogopi kufa.

Halafu kwenye sizifaya (ceasefire) negosiesheni alitaka kipengere cha yeye kutowindwa au kuuliwa na wagalatia. Itakuwa alikuwa amechanganya na damu ya kigalatia huyu sio bure, hadi anaogopa kifo

Kumbe ameenda paradiso, sijui nani kamuona na kaleta hiyo taarifa huku duniani. Isijekuwa wanatufunga kamba tuendelee kuuliwa na wagalatia halafu watu wenyewe hawaendi hata huko paradiso.
 
View: https://x.com/warmonitors/status/1846968037599015232?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom