Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Teh teh teh! Kama ni hivyo basi naye siku zake za kwenda waliko akina Nasrala, Hanaya, na Sinwar, zinahesabika.
Ila nahisi kama vile hatoikubali hiyo nafasi, unless labda awe amechoka kuishi 🤣.
Btw, pole sana msemaji na mwakilishi wa Hamasi hapa JF.