Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Ukiwa vitani usiogope kufa
Sorry kukwambia vita ni more than that, si kila kitu kinawekwa wazi. Is why moja ya mbinu majeshi mengi yanafundisha ukiwa front, kiongoz wa vikosi hatakiwi kujulikana kirahisi, wala wanakuwa target ya adui. Adui anajua akipiga kiongozi wengine watasambaratika au mipango kuvurugika

So kwenye tactical view, kuna mbinu nyingi. Huwezi mshinda adui huku unamuonyesha mbinu zako zote
 
maneno ni mengi, hero hivi hero vile, lakini hapa israel wametimiza moja ya malengo yao, among yale mengi.
He is gone and thats is the reality

Hizo blah blha nyingine ni kupaka rangi upepo
Malengo yapi wametimiza? Huenda una umri mdogo viongozi wa Hamas hawajaanza kuuliwa leo muulize baba yako huenda anajua atakusaidia, israel walimua muasisi wa Hamas mwaka 2004 na Hamas bado wapo tatizo nyie wagalatia mnaogopa sana kufa, hawa Wapelestina kila raia anapambania ardhi yao kufa kuwa ni ushhidi.
 
Wana malengo mengi , moja wapo ni kuendelea kudeal na viongozi wa makundi. Kama kuna mtu aliwapa shida na alikuwa intelligence leader wa hamas ni huyu bwana. Is why mwezi agost nilisema it was tactical mistake kumteua huyu bwana , maana anaenda kuwa exposed na ni rahisi sasa israel kumfikia

Kiongozi ambae israel walishindwa kumpata for years , wamekuja kumpata baada ya kuwa exposed. You guys need to think tacticaly, si kihisia
 
Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.
 
Without forgetting the virgin Mary😁
Difference virgin mary is not there,
Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.
pole sana mwana hamas wa tandale kwa tumbo.
Upo bongo halaf unajidai kuijua hamas, pathetic
Unlike you, nafocus zaid kwenye field, tacticts,movements. Siko kwenye politics na propaganda kama wewe
 
Hujui lolote wewe kuhusu Hamas endelea na ushabiki mandazi,I Hamas siyo mtu mmoja Hamas ni ideology na muasis wake ni Sheikh Yassin kaishauliwa na Israel Hamas ingekuwa mtu saizi imeishatitika, kila mpalestina ni Hamas.
Hata wapalestina watanzañia wote ni Hamas.
 
Alivyoooooooo mlainiiii hiviiii

Ritzy kifoo chakee huyu anakujaa kitangaza mwenyewe Nov humu
Kabisa atangaze
Kiongozi mkuu wa Hamas aliuawa Iran na Israel
Baada ya kifo chake Sinwar akatangazwa kuwa mkuu wa Hamas Israel wamemuua

Anasubiriwa huyo wa tatu atangazwe naye waue

Hezbollah alipouawa kiongozi wao mkuu wakachagua mwingine Israel naye wakaua sasa hivi kila mtu hataki cheo cha ukuu wa Hezbollah

Israel kachafukwa kama Simba aliyejeruhiwa
 
Jina la kiyahud kabisaaaaa hiyo Surname..nyie ndo maana israel wanawapasua daily, licha ya vetting mnazofanya ila bado mnateua wayahud na moles wa mossad walio ndani yenu wawe viongozi 😂
 
Sorry kukwambia vita ni more than that, si kila kitu kinawekwa wazi. Is why moja ya mbinu majeshi mengi yanafundisha ukiwa front, kiongoz wa vikosi hatakiwi kujulikana kirahisi, wala wanakuwa target ya adui. Adui anajua akipiga kiongozi wengine watasambaratika au mipango kuvurugika

So kwenye tactical view, kuna mbinu nyingi. Huwezi mshinda adui huku unamuonyesha mbinu zako zote
Kwa Hamas ni tofauti ukiuwa kingozi Mmoja wanajitokeza miamoja kutaka nafasi ya uongozi.
 
Wana malengo mengi , moja wapo ni kuendelea kudeal na viongozi wa makundi. Kama kuna mtu aliwapa shida na alikuwa intelligence leader wa hamas ni huyu bwana. Is why mwezi agost nilisema it was tactical mistake kumteua huyu bwana , maana anaenda kuwa exposed na ni rahisi sasa israel kumfikia

Kiongozi ambae israel walishindwa kumpata for years , wamekuja kumpata baada ya kuwa exposed. You guys need to think tacticaly, si kihisia
Malengo ya IDF kukomboa mateka na kumaliza Hamas mpaka sasa hakuna hata moja lililo fanikiwa tuendelee kusubiri.

Mwaka na miezi sasa.
 
Back
Top Bottom