Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Sorry kukwambia vita ni more than that, si kila kitu kinawekwa wazi. Is why moja ya mbinu majeshi mengi yanafundisha ukiwa front, kiongoz wa vikosi hatakiwi kujulikana kirahisi, wala wanakuwa target ya adui. Adui anajua akipiga kiongozi wengine watasambaratika au mipango kuvurugikaUkiwa vitani usiogope kufa
So kwenye tactical view, kuna mbinu nyingi. Huwezi mshinda adui huku unamuonyesha mbinu zako zote