Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Attachments

  • 1729194519071.jpg
    1729194519071.jpg
    252.6 KB · Views: 2
Wale wa kubet tunasema boooooom
 

Attachments

  • 1727939888664.jpg
    1727939888664.jpg
    153.9 KB · Views: 1
wikiend atakuwa naoohili
 

Attachments

  • Screenshot_20241017-061440_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-061440_Lite.jpg
    390.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241017-061444_Lite.jpg
    Screenshot_20241017-061444_Lite.jpg
    380 KB · Views: 2
I feel sorry for his family that will be left on earth alone.

Mwenzake mwezi wa nane kakalia kiti, mwezi wa kumi kaondolewa.
Akusoma nyakati

Ukiingia kwenye mfumoo Israel wabamalizana na wewe kimyakimya
 
Hili papai litatobolewa faster sana na myahudi
Huyo Khalid Meshal alishawahi kuwa kiongozi wa Hamas na baadaye ndiyo akakabidhi uongozi kwa Ismael Haniyeh,kwahiyo siyo mgeni huyo sema kwa muda mrefu anaishi Qatar.
 
kiongozi yoyote wa hamas akitaka asifee alee hikitu sikuyakwanza yakuteuliwaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    323.4 KB · Views: 1
  • 2023-06-11.jpg
    2023-06-11.jpg
    30 KB · Views: 1
  • 2021-06-02.jpg
    2021-06-02.jpg
    42.4 KB · Views: 2
To be a Hamas leader it has become the most dangerous job in the world
 
Kupewa uongozi wa kundi la kigaidi hakuna tofauti na kufungwa mabomu/vilipuzi mwilini ili ukajitoe muhanga.Huna hiyari hata ukilia na kutia huruma.Ukipewa tu wewe ni "the number one walking dead "!Alale pema peponi kamanda in advance!
Hao ni freedom seekers br. Wanajua kupambana na Israel ni jambo la kutisha na kufa ni hadharani bila chenga. Wanachokifanya wao ni kuendeleza harakati kukomboa taifa lao.
Nisikudanganye pamoja na hili Israel hawatafanikiwa kuishi Kwa amani maisha yote ya hapa
 
Hao ni freedom seekers br. Wanajua kupambana na Israel ni jambo la kutisha na kufa ni hadharani bila chenga. Wanachokifanya wao ni kuendeleza harakati kukomboa taifa lao.
Nisikudanganye pamoja na hili Israel hawatafanikiwa kuishi Kwa amani maisha yote ya hapa
Sawasawa.Ngoja tusubiri.
 
Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.

Tarehe 22 Machi 2004, kiongozi wa Palestina na mmoja wa waanzilishi wa Hamas, Ahmed Yassin, 67, aliuawa katika mji wa Gaza. Sheikh Ahmed Yassin - ambaye alitumia kiti cha magurudumu kwa sababu ya kuwa na ulemavu wa miguu tangu ujana wake - alikuwa akirejea kutoka kuswali Swalah ya Alfajiri, na masahaba zake pia waliuawa mara moja.
Kwa hiyo?
 
Huyu ndiyo muasisi wa Hamas aliuliwa mwaka 2004, baada ya kifo chake Hamas wanapambana Hamas ni ideology, siyo mtu huwezi kuwamaliza Hamas kwa kuuwa watu wao zadi ni kuwapa nguvu. Tofauti na nyie wagalatia mnaogopa kufa😀
Kaka jibu swali mbona simple tu umeulizwa huyo wa nyuma yake yupo wapi mpaka unataka aje mwingine
 
Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣
kifo si suala la sifa. kifo ni kifo hizo narrative ni ujinga.
Is why wanajeshi wana jiunga wakijua risk moja wapo ni kifo, lakini wako front line kama hivi. Tatizo sio kufa, is how and for what.
 
Back
Top Bottom