Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

Wanaukumbi.

BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS

Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Screenshot_2024-10-17-21-30-47-653_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-17-20-50-31-166_com.twitter.android~3.jpg
Screenshot_2024-10-17-20-50-31-166_com.twitter.android~2.jpg
 
Kupewa uongozi wa kundi la kigaidi hakuna tofauti na kufungwa mabomu/vilipuzi mwilini ili ukajitoe muhanga.Huna hiyari hata ukilia na kutia huruma.Ukipewa tu wewe ni "the number one walking dead "!Alale peponi kamanda in advance!
Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣
 
Najua basi?ndo maana nimeuliza. Huyo wa nyuma yake yupo wapi mpaka unataka aje mwingine?
Huyu ndiyo muasisi wa Hamas aliuliwa mwaka 2004, baada ya kifo chake Hamas wanapambana Hamas ni ideology, siyo mtu huwezi kuwamaliza Hamas kwa kuuwa watu wao zadi ni kuwapa nguvu. Tofauti na nyie wagalatia mnaogopa kufa😀
 

Attachments

  • IMG_9608.jpeg
    IMG_9608.jpeg
    650.6 KB · Views: 1
Upendo wa Mungu ni wa ajabu sana ni vigumu kuutafsuri ili upate jibu aisee

Sielewi kwa nini Ritz upo Tanzania ilihali ulipaswa uzaliwe Eidha Lebanoni, Palestine na ama kokote warabuni na pengine tayari tunapozungumza sasa ungekuwa peponi ukijilia bikira zako maana ni lazima tu ungelikuwaga mkuu wa kitengo kwenye vitengo hivi vya kigaidi na myahudi asingekuacha kwa kiherehere hicho

Tunaushukuru Upendo wa Mungu leo hii wewe ni mtanzania mwenzetu na tunakupenda watanzania na bila ya shaka hata wewe unawapenda Watanzania
 
Ushindi upi huo wakati huwa wanalia kwa uchungu wanapobanwa na kuuliwa?Acha uongouongo wewe na kujipa ujasiri hewa!
Wewe punguani uwezi kuona Hamas anapigana na dunia nzima wanagombania ardhi yao leo wameweza kuuwa Wanajeshi wa Israel zaidi ya 20.000 kuna vilema zaidi ya 10.000 wewe shabiki mandazi upo Makete hujui lolote😂
 
Back
Top Bottom