Alivyoooooooo mlainiiii hiviiiiWanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.Wakiisha utafuata wewe
Kwani aliyetangulia amekwenda wapi?Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unaenda lini kuungana na Hamas & Hizbollah kuwashughulikia Wayahudi?Wewe umeifahamu Hamas kupitia JF ngioja nikupe darsa kidogo wewe mlokole huwenda ulikuwa bado upo Utegi au kwenye zipu.
Tarehe 22 Machi 2004, kiongozi wa Palestina na mmoja wa waanzilishi wa Hamas, Ahmed Yassin, 67, aliuawa katika mji wa Gaza. Sheikh Ahmed Yassin - ambaye alitumia kiti cha magurudumu kwa sababu ya kuwa na ulemavu wa miguu tangu ujana wake - alikuwa akirejea kutoka kuswali Swalah ya Alfajiri, na masahaba zake pia waliuawa mara moja.
Mapambano yanaedelea.Unaenda lini kuungana na Hamas & Hizbollah kuwashughulikia Wayahudi?
Aliyekuwepo before ameenda wapi?Wanaukumbi.