Kaka yake Sinwar ndio yawezekana Hamas washaifanya ya ukooWanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamna kitu alikuwa akitoloka baada ya kusikia IDF wamearibia alipo
Thread ya kuwachooza wengine.. Jesus alikuwa akiwaambia Viongozi wa Dini ya Kiyahudi kuwa wao wamepotea na kibaya zaidi wanataka na wengine wapotee pia.. hii ni wrong umechoose your path just go and disappear zako huko nyang'au wewe acha wengine watafute njia zao safi salama za kuishi. Kipofu humuongoza kipofu mwenzie Shimoni.