Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

TOKEA HUU MZOZO WA KALIGRAPH JONES UANZE NIMEJIFUNZA HAYA KUHUSU HIP-HOP MUSIC,

Mosi
, muziki wa HipHop hauwezi kupenya na kupata mashabiki bila uwepo wa makundi yanayovutana (Factionalism/Beef/Antagonism/Rap Battle) ya wasanii wa muziki huo. Kikawaida, binadamu huwa tunapenda ushabiki, hivyo tunavyoona makundi hasimu yanavutana huwa tunachagua upande na kuendelea kufuatilia. Kipindi hiki tumajikuta kwenye kundi la uzalendo (By Default) tukiwa tunashabikia nchi ya Tanzania.

Hili limewafanya hata wale watu ambao hawafuatilii muziki wa HipHop kusikiliza kwasababu tu wanataka kuona Wakenya wameshindwa. Kama huu mvutano utaendelea muda mrefu, basi hata wasanii ambao hawafahamiki sana Mainstream (Underground Zone) kama Songa, Wakazi, watafahamika Tanzania, Kenya na hata Uganda jambo ambalo litainufaisha sana ya HipHop Bongo na Kenya.

Mfano hai ni huu, kule Marekani kulikuwa na
EAST COUST vs WEST COAST RIVARLY. Tupac Shakur na Notorious B.I.G, walikuwa na vipaji vikubwa, lakini muziki wao ulianza kufahamika baada ya hawa wasanii kujihusisha na hizi pande mbili. Upande wa East Coast Rap wasanii walichana wakitumia mahadhi ya miziki ya zamani kama Jazz, huku wakicheza na lugha kutumia mashairi na lugha ya picha (Metaphors & Complex Lyrics) kufikisha ujumbe kuhusu mambo yanayoikumba jamii kama Umasikini. Uchanaji wa B.I.G ulikuwa unaradha fulani halafu una mistari yenye giza sana mfano anakwambia "When I die I wanna go to hell" ila ni lugha ya picha.

West Coast Rap, wasanii walikuwa wanaimba Modern HipHop ambayo imechanganyika na miziki ya wakati huo kama (Funk) na walitegemea sana mdundo. Uchanaji wao ulikuwa umejaa matusi ya moja kwa moja (Slag and Vulgar Words), huku wakizingumzia mambo yanayoikumba jamii ya weusi (Social Issues) kama ubaguzi wa rangi, fujo za polisi na madawa ya kulevya. Tupac alikuwa ni mtumiaji mzuri wa aina hii ya sanaa.

50 Cent, katoka kimuziki baada ya kuwa mtu wa vurugu-vurugu akishindana na watu kama Ja Rule, Cam'ron, Beenie Sigel, Jay-Z na Kanye West na wengine. Hii ndiyo asili ya muziki wa HipHop, Factionalism and Antagonism.

Kiufupi ni kwamba muziki wa HipHop ni tofauti na RnB, Jazz, Pop au Raggae. Ili msanii atoke ni lazima awe na washabiki anaowawakilisha. Kiasili HipHop ni muziki uliotumika kuwakilisha mawazo ya wengi ndani ya jamii kupitia msanii. Hata Nas na Jay-Z walipokuwa wanavutana, muziki wao ulipata washabiki wengi kwasababu watu waliamua kuunga mkono upande ambao wanahisi mawazo yao yanalingana na msanii. Tukitaja HipHop iwe mapenzi tu bila kuzungumzia mambo ya jamii hatutafika mbali. Rosa Ree kamjibu Kaligraph, lakini amawakilisha mawazo ya WATZ wengi kuhusu Wakenya, lakini pia hajamtusi Kaligraph peke yake bali hawa Wakenya.

Pili, huwezi kufanya muziki wa HipHop bila kuwepo falsafa (Ideology/Philosophy/Religion). Hii hoja inashabihiana na ile ya kwanza ya kuvutana. Hata kama hamtakuwa na mvutano (Factionalism/Beef/Feud/Rap Battle) baina ya wasanii, mwanamuziki akiwa anatoka kwenye kundi fulani ndani ya jamii na akaamua kuliwakilisha kupitia sanaa yake, basi watu watamuunga mkono hata kama hawaupendi huo muziki, maadam tu anawakilisha mawazo yao. HipHop ni tofauti kabisa na Genres kama Soul, Jazz, Blues au RnB ambazo mara nyingi huwakilisha hisia za binafsi za msanii, uwezo wake wa sauti na ujuzi wa kutumia vyombo vya muziki.

Makundi ya wasaniii kama PUBLIC ENEMIES na NWA (Niggaz Wit Attitudes) walipata umaarufu kwasababu waliimba muziki ambao uliwakilisha falsafa ya watu weusi wakati huo (Zeitgeist) ambapo walikumbwa na mambo ya ubaguzi wa rangi (Racism). Kiuhalisia, muziki wa HipHop huwa hauvutii kabisa kusikiliza, huu ndiyo ukweli. Ila ukiwa na ujumbe mzuri ambao unahusu maisha yake, ni lazima atakusikiliza. Watu wengi wa Tanzania ambao hata hawamfahamu Kaligraph Jones au wanamfahamu ila hawamsikilizi, watamsikiliza kipindi hiki kwasababu amegusa (Pride) yao kwamba TZ inayoheshimika kimuziki haiheshimiki. Tena watawasikiliza hadi wakina Rosa Ree na wasanii wengine ambao watawajibu Wakenya.

Msanii kama Roma Mkatoliki, ukilinganisha sanaa yake na wasanii kama Chidi Benz, Geez Mabov, Joh Makini na Fid Q ni mtoto sana. Ila ameweza kuvuma kuliko hawa wasanii wakubwa kwasababu alitoa muziki ambao uliwakilisha falsafa ya kipindi hicho (Zeitgeist) ambapo watanzania wengi walikuwa wanakerwa na mambo kama ufisadi na skendo za kisiasa. Mimi namsikiliza Roma mara ya kwanza ni baada ya kutoa zile nyimbo akimdiss Raisi Kikwete na serikali yake. Kiufupi Roma Mkatoliki alisikilizwa hadi na viongozi wa dini ambao hawataki kabisa huu mziki, ila tu kwasababu kazungumzia AREAS OF THEIR DISSATISFACTION.

Roma alivuma mno kwasababu mbali na uchanga wake kimuziki, alidiriki kuzungumzia mambo ambayo hata wanasiasa wengi hawakudiriki kuyasema, hasahasa kwenye awamu ya Mzee Magufuli. Wasanii wengi wa HipHop kwa hofu ya kutaka kupata fedha kwenye sanaa, waliamua kubadilisha aina ya uimbaji wa HipHop na kuanza kufanya biashara, jambo ambalo ni zuri lakini linapunguza makali ya sanaa ambayo asili yake ni falsafa fulani aidha ya kidini, kisiasa au kijamii.

Lupe Fiasco alipata umaarufu kwenye Album yake ya THE COOL baada ya kudiriki kuzungumzia mambo ambayo wasanii wengine wa HipHop nchini Marekani hawakudiriki kuyasema. Jay-Z alinukuliwa akisema "Lupe's Music is a breath of fresh air". Aliharibu pale alipotoa album ya LASERS na kuanza kuimba mambo mengine kama. Aliuza sana hadi LASERS, japo siyo katika kiwango kile cha mwanzo. Kendrick Lamar anazidi kufanya vizuri kwasababu, hajabadilika sana kwenye kazi zake. Mara zote amezungumzia masuala ya weusi bila kuogopa, tena anatumia lugha ya picha na ngumu kama ile ya East Coast Rap.

Asipozungumzia mambo makubwa, basi atazungumzia na kuwakilisha mtaa (Compton) ambako ndiko kwao, hivyo atauza tu.

NB: HipHop music is all about though provoking and creating emotional rollercoaster. Kaligraph amewagusa watanzania penye mshono, Rosa Ree kawajibu vibaya kweli wakenya na mpaka sasa hata wasiomfahamu wamemfahamu. Nashauri wasanii wengine wa kibongo wa HipHop waendelee kushambulia, siyo tu Kaligraph Jones, hata wasanii wengine wa Kenya, pamoja na maisha yao kiujumla. Huu siyo ugomvi ambao utatugawa, bali hii ni sanaaa, na ndani ya sanaa kuna kitu wanakiita (MAJIGAMBO).

You have the spotlight, media houses, blogs and social medias nyingine wahakikishe kwamba hili Beef wanalipa Airtime ya kutosha. Hapa ugomvi ni KENYA vs TANZANIA, hivyo mashabiki vijana watapatikana kutoka nchi zote mbili. Wasanii wetu watumie hii nafasi kujitangaza na kuonesha umahiri wao, siyo kulia-lia na kujificha. Media, Promoters na Wasanii wanaweza kutengeneza pesa kubwa mno endapo wakigeuza hiki kinachoendelea kuwa fursa. Kiufupi hii ni fursa kubwa mno...

Tatu na mwisho, Kaligraph Jones ni msanii mkubwa. Tena siyo mkubwa tu, bali ni mkubwa haswaa. Hili mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kitendo cha kusababisha taharuki kubwa namna hii ndani ya Tanzania kwa kauli chache inadhihirisha kwamba hata TZ wanaukubali uwezo wake. Angekuwa ni OCTOPIZZO kasema hivi, sidhani kama kungekuwa na taharuki kubwa namna hii. Ila kwasababu TZ mmeguswa panapouma, hasahasa kwenye LUGHA YA KIINGEREZA, wasanii wetu wameamua kutoka shimoni.

Tena nafurahia kwamba wasanii ambao wanatoka shimoni kumjibu ni wale wenye uwezo kweli-kweli wa kuchana kwa lugha mbili. Sasa tunasubiri wasanii wengine wa Kenya wajiunge ili sisi wadau tuone mbivu na mbichi, na sanaa yetu iende mbele.

Daah nimeandika gazeti refu kishenzi, nikisahau kwamba TZ wengi kusoma ni shida. EniWei..

Nikikumbuka enzi zile playlist yangu nzima ni hiphop songs tu, na sasa ilivyo nahisi huzuni kwa kweli..!!
Mainstream ni ubepari. Uingie au uache, ukiacha unapotea. Ndio unaona wengi wanaingia huko hadi kwenye amapiano.

Who's your favourite rapper hapa Tz? Hata top 3 tu
 
Watatu wachache mno kiasi kwamba hata sijui nimuweke nani nimuache nani, labda uniambie kuanzia 20 huko kidogo ndiyo naweza jikaza..!!
 
Braza Salute sana! You are the #Monster for Sure👊
 
Wapambane na njaa kwanza huko kwao,wtz hatuna muda mchafu
 
[emoji23][emoji23]
Kaskazini is my hood,
Naskiza 'waite polisi by Roho 7' hapa..!!
Umenikumbusha huyo jamaa wa Iringa asee, alikua ni one of the best Lyricists in hiphop.

Ana ile yake ya kwanza inaitwa "nakupenda hipphop" hii kwangu moja ya ngoma bora za hiphop.
 
AKILI KUBWA
 
Niliwahi soma ni humu ndani nadhani kwamba sahii jamaa ana nyota zake begani..!!

Yes, he is one of the best hakika..!!
 
Nyieee, mmeisikia Arap Moi Jr?
Ninamkubali sana Khalighraph, ila niwe mkweli kwa rap ya bongo hafiki hata kidogo.

Motra the future (Genius), dear brian, makaveli na rosa Lee wametisha sana. Ila rosa ree amekuwa personal sana.

HipHop ipo TZ tusije kudanganyika.
 
Niliwahi soma ni humu ndani nadhani kwamba sahii jamaa ana nyota zake begani..!!

Yes, he is one of the best hakika..!!
Yes, nilikua namkubali aliingia vizuri kwa game na kwa style tofauti kidogo. Shida alikuja wakati mgumu ambao kuna watu wengi nao walikua ndio wanatoka; roma, darassa, nikki wa pili, young dee, godzilla, izzo b, stamina, baghdad, nikki mbishi, n.k
 
Back
Top Bottom