Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

Jamaa kapotea njia aise ku - trend, tayari anaona kaweza ,

Chindo man - hauwez battle daaa kamchinja hatari .

Songa - ndani ya saa kama 6, kampiga na distrack 2 ( kali sio Jones, ikafata usimdiss kal)

Tamaduni wanamsitil tu jamaa, hapo P the mc , dizasta, nikki mbishi wametulia kama hapo

Levo za Jones ni kina young ndo sawa yake Lunya tu manamyesha uharo
 
Juu hapo niliorodhesha ma mc/rappers wa bongo ambao watamkalisha asubuhi tu
1. One incredible
2. Wakazi
3. Dizasta vinna
4. Mawenge

Khali ni mwenyepesi Sana kwa rappers wa bongo
 
Jones kajibu, wakazi wanasema apewe kazi wasafi,

Afu rappers apewe korabo na modi zuwena

Sasa tusubiri tamaduni sijui watafnya nini uyu
 
Sema kuna ile ngoma YES BANA ni kali sana.

Jamaa yuko fresh na mimi namkubali ila kuwagusa watz kwenye mziki anakosea.

Bongo vitu vingi tupo nyuma ila kimziki tuko mbali sana kwa africa mashariki na kati hamna kama Tz.

Huyo kwakazi zake kwa Darasa tu anakaa.

Ukija kwenye kurap hamgusi yoyote kato ya hawa
Nick mbish
Joh makini
One incredible
Fid q
Mex cortez

Ukija kwenye dis track hamgus yoyote kati ya
P the mc
Dizasta

Kiufupi kajichanganya
 
Bado ana-sound ki-wack Hana misingi hana punchilines
Anatafuta trend tu
Hii nahisi katoa kitambo , ndo kaja ku dias maana hakuna alipo m- battle yeyoyot aliye mchana , kama chindo, na Kali , hata Rosa Ree

Songa kaahidi ataingia chimbo kama msanii yoyote atadisiwa na Jones .

Kazi ipo tutegemee maneno kuntu
 
Attachments

  • Screenshot_20230826-115322_X.jpg
    Screenshot_20230826-115322_X.jpg
    529.3 KB · Views: 3
Hii nahisi katoa kitambo , ndo kaja ku dias maana hakuna alipo m- battle yeyoyot aliye mchana , kama chindo, na Kali , hata Rosa Ree

Songa kaahidi ataingia chimbo kama msanii yoyote atadisiwa na Jones .

Kazi ipo tutegemee maneno kuntu
Nimeisikiliza Dis track ya songa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chindo kamuua
Rosaree ndio kamtemesha nyongo kabisa
 
Shida ni kwamba Rappers wa TZ wa miaka 1995-2006 wengi walikuwa way ahead of their time. Watu kama kina Steve Kafire, J-Moe, Solo Thang, Fid Q walikuwa na nyimbo ambazo ulikuwa ukizisikiliza unaweza kubaki mdomo wazi tu. Kilichoharibu muziki wa Rap Tanzania ni kitendo cha kubadilisha muziki wa Tanzania usiwe Label Based, bali Media Based ili kupiga pesa, michezo ambayo iliasisiwa na Marehemu Ruge Mutahaba.

Media ilikuwa inaangalia impigie nani chapuo ili avume na wapige hela. Tofauti na Label ambako walikuwa wanakucheki na kukufunda mtu kabla ya kutoa kazi. Kiuhalisia hili la Media Base Rappers ndiyo limechangia sehemu kubwa kwa wasanii wengi wa siku hizi kutokuvuma. Redio kubwa ilikuwa ni Clouds, na isipokupa time basi imekula kwako. Walau kipindi Kiss-FM miaka ya 2005, 2006, 2007 ilijitahidi kupiga wasanii wapya wengi. Mimi niliwafahamu Mapacha kupitia African Beats ya Kiss-FM.

Hivyo upande mmoja anaposema Kaligraph Jones kwamba HipHop in Tanzania is dead yuko sahihi, kwasababu Rappers wetu wa kizazi hiki ambao ni wakali kama Mex Cortez, One The Incredible, Nikki Mbishi, P Mawenge bado wako kwenye Underground Zone hawajatoboa Mainstream kiasi cha kuwafanya hata wapate wafuasi wengi hapa TZ. Talent Wise, Kaligraph anajiweza mno, I give him that, ila kushindana na watu kama Nikki Mbishi, One na Mex hawezi, lyrically and poetically.
Aisee we jamaa hakika unafuatilia hii sanaa mkuu. Analysis short and clear kabisa.
 
Back
Top Bottom