Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

Khaligraph Jones tunampa Wakazi tu size yake.
Nilishawahi kuwaambia watu humu ndani nikaishia matusi, ila kiukweli Wakazi angekuwa anafanya Rap Full Time na kupata usimamizi mzuri, bwana yule ni moto wa kuotea mbali mno. Sema shida hapa TZ ni kwamba hata Presenters wa Radio hawafahamu muziki. Uko sahihi Kaligraph size yake ni Wakazi Webiro Wassira.
 
Shida ni kwamba Rappers wa TZ wa miaka 1995-2006 wengi walikuwa way ahead of their time. Watu kama kina Steve Kafire, J-Moe, Solo Thang, Fid Q walikuwa na nyimbo ambazo ulikuwa ukizisikiliza unaweza kubaki mdomo wazi tu. Kilichoharibu muziki wa Rap Tanzania ni kitendo cha kubadilisha muziki wa Tanzania usiwe Label Based, bali Media Based ili kupiga pesa, michezo ambayo iliasisiwa na Marehemu Ruge Mutahaba.

Media ilikuwa inaangalia impigie nani chapuo ili avume na wapige hela. Tofauti na Label ambako walikuwa wanakucheki na kukufunda mtu kabla ya kutoa kazi. Kiuhalisia hili la Media Base Rappers ndiyo limechangia sehemu kubwa kwa wasanii wengi wa siku hizi kutokuvuma. Redio kubwa ilikuwa ni Clouds, na isipokupa time basi imekula kwako. Walau kipindi Kiss-FM miaka ya 2005, 2006, 2007 ilijitahidi kupiga wasanii wapya wengi. Mimi niliwafahamu Mapacha kupitia African Beats ya Kiss-FM.

Hivyo upande mmoja anaposema Kaligraph Jones kwamba HipHop in Tanzania is dead yuko sahihi, kwasababu Rappers wetu wa kizazi hiki ambao ni wakali kama Mex Cortez, One The Incredible, Nikki Mbishi, P Mawenge bado wako kwenye Underground Zone hawajatoboa Mainstream kiasi cha kuwafanya hata wapate wafuasi wengi hapa TZ. Talent Wise, Kaligraph anajiweza mno, I give him that, ila kushindana na watu kama Nikki Mbishi, One na Mex hawezi, lyrically and poetically.
Mkuu, kwanini umebadilisha ID yako!?
Aisee, kuna sehemu nimekuchallenge hapo juu, ngoja nifute comment yangu.
😂😂😂😂
 
P Mawenge alisha diss kimtindo, alimwammbia mshkaji anachana kama rapper wa kikenya, yaani wack
 
Shida ni kwamba Rappers wa TZ wa miaka 1995-2006 wengi walikuwa way ahead of their time. Watu kama kina Steve Kafire, J-Moe, Solo Thang, Fid Q walikuwa na nyimbo ambazo ulikuwa ukizisikiliza unaweza kubaki mdomo wazi tu. Kilichoharibu muziki wa Rap Tanzania ni kitendo cha kubadilisha muziki wa Tanzania usiwe Label Based, bali Media Based ili kupiga pesa, michezo ambayo iliasisiwa na Marehemu Ruge Mutahaba.

Media ilikuwa inaangalia impigie nani chapuo ili avume na wapige hela. Tofauti na Label ambako walikuwa wanakucheki na kukufunda mtu kabla ya kutoa kazi. Kiuhalisia hili la Media Base Rappers ndiyo limechangia sehemu kubwa kwa wasanii wengi wa siku hizi kutokuvuma. Redio kubwa ilikuwa ni Clouds, na isipokupa time basi imekula kwako. Walau kipindi Kiss-FM miaka ya 2005, 2006, 2007 ilijitahidi kupiga wasanii wapya wengi. Mimi niliwafahamu Mapacha kupitia African Beats ya Kiss-FM.

Hivyo upande mmoja anaposema Kaligraph Jones kwamba HipHop in Tanzania is dead yuko sahihi, kwasababu Rappers wetu wa kizazi hiki ambao ni wakali kama Mex Cortez, One The Incredible, Nikki Mbishi, P Mawenge bado wako kwenye Underground Zone hawajatoboa Mainstream kiasi cha kuwafanya hata wapate wafuasi wengi hapa TZ. Talent Wise, Kaligraph anajiweza mno, I give him that, ila kushindana na watu kama Nikki Mbishi, One na Mex hawezi, lyrically and poetically.
We ni nani..!? mana inaonekana una AKILI..
 
Back
Top Bottom