Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASINGEWEZA hata kidogoHivi Kaligraph Jones angeweza kusimama na Prime Saigon kwenye Bilingual Rap, ?
Kiranga hebu tusaidie ndugu yangu.
List yako tu inaonesha Hujui lolote kuhusu Bongo hiphop.Jones ni mkali achen uswahili, mnataka kumfananisha na kado kitengo, sijuo P the Mc, hapa bongo wanahiphop wanaoweza kumkalisha jamaa..
1. Roma
2. Prof J
3. Stamina
4. Dizasta
5. Fid Q
Wengine hao hamna kitu, achen porojo
Humjui Jones mzee, jamaa ni heavyweight.. usivilete visanii vyako uchwara, vivuta bangi hata tuzo moja hawana, hata shoo ya elfu 2 wakiandaa hawajazi, uje uwafananishe na Papa Jones. Kuwa na heshimaList yako tu inaonesha Hujui lolote kuhusu Bongo hiphop.
ASINGEWEZA hata kidogo
Jamaa naona kama anataka kuichangamsha game ya HipHop iloyo lala kwa upande wa East Africa, kwani ki ukweli kwa EA mwamba hamna anaye mkaribia. Hata nyimbo zake zinapata rotational mpaka kwenye media za kimataifa na mwaka juzi tu alikuwa nominated kwenye BET Hip Hop Award.
So mwaba hajivuni ila kiukweli ni mkali.
Wewe ndiyo hujui hip hop maana ata ROMA mwenyewe hajashobokea kabisa dundoJones ni mkali achen uswahili, mnataka kumfananisha na kado kitengo, sijuo P the Mc, hapa bongo wanahiphop wanaoweza kumkalisha jamaa..
1. Roma
2. Prof J
3. Stamina
4. Dizasta
5. Fid Q
Wengine hao hamna kitu, achen porojo
Yeah, Nikki anaingia hapo kwenye listHakuna Nikki mbishi
Nakuonyesha videos uoneKumbe napishana na mwanamke fact roseree anamzidi LUNYA kukaza vocal
Mimi na zungumzia kwa sasa. Bamboo kweli mzuri ila kwa Khaligraph bado,Bamboo hata Collo wa Klepto ana mkalisha.Tuache umaarufu wa kupigwa kwenye Media za kimataifa au kugombania Tuzo kubwa. Ndiyo nakubali Kaligraph Jones ana flow nzuri na anaweza kuchana kiingereza, ila kama ni kipaji cha kuchana (Poetically + Lyrically) kusema kwamba hakuna wa kumfikia hapa Africa Mashariki napata wasiwasi sana. Tena sanaa hasahasa kwa wengi ambao tulianza kusikiliza Rap ya East Afrika tokea miaka ya 90's. Hivi uwezo wa kimashairi aliokuwa nao Bamboo unaweza kuufananisha na huu wa Kaligraph Jones, ?