Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

What is a rapper ? A rapper is any person who does not have a real talent.

# that's why every one else can be a rapper.
 
Kenya hawana mziki wa njaa... Kenya wasanii ni real talents na si wachimba chumvi kama huku bongo.

Wasanii wa Kenya Wamesoma..wana medegree yao. Hawatoki majalalani kama huku bongo.. ambao mnashikwa na media.

Acheni ujinga wasanii wa TZ.. grow up..
Media za bongo acheni ujinga ...acheni kuwa setbacks.

Record labels za bongo acheni upumbavuu..
 
Kaligraph Jones ni Rapper mkali na amefanikiwa kufika mainstream kwa Africa mashariki, ila uwezo wake ukilinganisha na Rappers kama Nikki mbishi, One the incredible na Mex cortez bado ni mdogo, nimechagua hao rappers watatu kutoka TZ kwa sababu ya uwezo wao mkubwa kwenye ku flow vitu vyenye tija ama kushambulia mpinzani kwa ufanisi kupitia lugha ya kiswahili na Kiingereza (Bi Lingual) kitu ambacho kaligraph anajivunia nacho, tofauti ni kwamba hao watatu hawajafanikiwa kwenda mainstream, ila kama anataka battle atagaragazwa vibaya sana na hao ndugu watatu na ndio inawezekana ikawa nafasi ya kuwapeleka mainstream east Africa. BTW Nyashinski akiamua kurudi zama zake za ku Rap anaweza kumkalisha Kaligraph Round ya kwanza na kuiteketeza kabisa career ya Kaligraph.
Na ndio maana Wakenya wanawatukana kila siku. Hamna uwezo wa ku urgue..

Yani thinking yenu waTZ ni fukk..asa hao ulowataja hapo wanaijulikana wapi!?? Au huko kwa Birthday parties
 
Tizameni
🤣🤣👇👇
 
Na ndio maana Wakenya wanawatukana kila siku. Hamna uwezo wa ku urgue..

Yani thinking yenu waTZ ni fukk..asa hao ulowataja hapo wanaijulikana wapi!?? Au huko kwa Birthday parties
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya hawana mziki wa njaa... Kenya wasanii ni real talents na si wachimba chumvi kama huku bongo.

Wasanii wa Kenya Wamesoma..wana medegree yao. Hawatoki majalalani kama huku bongo.. ambao mnashikwa na media.

Acheni ujinga wasanii wa TZ.. grow up..
Media za bongo acheni ujinga ...acheni kuwa setbacks.

Record labels za bongo acheni upumbavuu..
Kenya ni masikini wa kutupwa Tanzania tumeiacha mbali mno ila Ina watu wenye kujiamini sana Kwa vitu vingi.
 
Na ndio maana Wakenya wanawatukana kila siku. Hamna uwezo wa ku urgue..

Yani thinking yenu waTZ ni fukk..asa hao ulowataja hapo wanaijulikana wapi!?? Au huko kwa Birthday parties

Sasa hapo ume argue kitu gani?? Kinachopambanishwa ni kujulikana ama uwezo wa kuchana?? Katika hili naamua kukupuuza tu inaonekana uko mweupe. Inawezekana hauna data au ume data au vyote kwa pamoja.
 
Kenya hawana mziki wa njaa... Kenya wasanii ni real talents na si wachimba chumvi kama huku bongo.

0Wasanii wa Kenya Wamesoma..wana medegree yao. Hawatoki majalalani kama huku bongo.. ambao mnashikwa na media.

Acheni ujinga wasanii wa TZ.. grow up..
Media za bongo acheni ujinga ...acheni kuwa setbacks.

Record labels za bongo acheni upumbavuu..
Kama kuwa na degree ndio kujua muziki ama kuwa mwanamuziki bora basi tuzo za grammy wangekuwa wanashinda wasanii wenye degree tu.
 
Kenya hawana mziki wa njaa... Kenya wasanii ni real talents na si wachimba chumvi kama huku bongo.

Wasanii wa Kenya Wamesoma..wana medegree yao. Hawatoki majalalani kama huku bongo.. ambao mnashikwa na media.

Acheni ujinga wasanii wa TZ.. grow up..
Media za bongo acheni ujinga ...acheni kuwa setbacks.

Record labels za bongo acheni upumbavuu..

Unajua kinachozungumziwa au unakurupuka tuu kucomment kenge wewe? mambo ya elimu yatoka wapi kwenye kipaji??
 
Unajua kinachozungumziwa au unakurupuka tuu kucomment kenge wewe? mambo ya elimu yatoka wapi kwenye kipaji??
Nyinyi Elimu hamna ndo maana mnaishia kufeli kila mnapo ng'aa na kuwa wala unga .
 
Tuwape kazi wakina kado kitengo?
Kwangu Kado Kitengo lianapokuja swala la Freestyle Battle sioni wa kushindana nae hapa Africa jamaa hua ananimalizia bundle huko You Tube... Ayeeeeeeeee ayeaaaaa......

Hahahahhaha
 
Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap
"Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.."

Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI MBISHI baada ya Nikki kumshinda Kali kwenye FREESTYLE EAST AFRICA BATTLE

Ndiyo wakafanya na ngoma ya BABA YAO kama aikosea Sasa kalighlaf kweli ukiacha upop alionao anaweza ata kaaa battle na KANJIABAI MEX?

ANYWAY NCHINI KWAO HANA WA KUSHINDANA NAO AHAMIE BONGO AJIONE ALIVYO MDOGO
USINI-DISS KWA KISWAHILI KAMA HUJUI HATA KUKITAMKA... [emoji28]
 
Kwa Sasa Khali ni greatest, huyo Niki like Baki jina na sifa tu.
👉 Kumbuka Khali kaforce kupenya Kwenye soko sio Leo tu.
👉Ngoma Kama wanaona haya, aliyo shirikishwa na country.
👉Shot- kapewa shavu na killer
👉Kuna I'll aliyo washirikisha rostam- na bado kaua
 
Back
Top Bottom