Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kali Hana ngoma na Nikki?Kwa Sasa Khali ni greatest, huyo Niki like Baki jina na sifa tu.
[emoji117] Kumbuka Khali kaforce kupenya Kwenye soko sio Leo tu.
[emoji117]Ngoma Kama wanaona haya, aliyo shirikishwa na country.
[emoji117]Shot- kapewa shavu na killer
[emoji117]Kuna I'll aliyo washirikisha rostam- na bado kaua
Nakupa Nyimbo 5 za Khali, kasikilize uje utoe majibu.Kwani Kali Hana ngoma na Nikki?
Humjui P bado....P the MC atakalishwa, flow yake uki linganisha na ya Kaligraph, Kaligraph ataibuka mshindi
Sawa wewe unamjua inatoshaHumjui P bado....
Unamjua kado au unamsikia?Msi mjaze kichwa huyo kitengo, ata enda kupotezwa mapema.
👉 Khali ni level za kina nasty na Sarkodie
Bro nime sikiliza uwasilishaji wake ana weza kimtindo.Unamjua kado au unamsikia?
Mimi nipo kwenye angles tofautiBro nime sikiliza uwasilishaji wake ana weza kimtindo.
[emoji117] Una mzungunzia Khali ambaye kawa best rapper Africa ×3
[emoji117]Jamaa ana tokea afrika masgariki, ila kwa Sasa afrika nzima Ina mpata.
[emoji117]Taka ngoma 5 za kitengo, zinazo weza ku compete na za Khali Jones.
Mzee una mu underate Khali kirahisi hivyo, Khali huwa una msikiliza kwanza???Mimi nipo kwenye angles tofauti
Freestyle battle; Kaligraph vs kitengo
Diss track; Kaligraph vs Dizasta vina
..... . ....... . Kaligraph vs mawenge
Hakuna sehemu Kaligraph atatoka hai hapo
Mkuu wewe ndio naona unamu-underate kadoMzee una mu underate Khali kirahisi hivyo, Khali huwa una msikiliza kwanza???
[emoji117]Ume sikiliza freetyle zake Mara ya mwisho lini???
[emoji117]Nyimbo zake je???
Wack asf!