Naona umeshiba Maharage ya Jana maana unabwabwaja sana!!Kuuwa watoto na wanake ndio kazi yao lakini huwa wakikutana na miamba ya Qasam ana kwa ana wazayuni wanaipata mpaka wajaza pampasi zao.
Hapo hujangolea kichapo Cha muIrani mpaka Nyau ikalia hadharani anataka Trump amsadie.
Hili taifa feki la kizayuni muda umefika kupepea.
Viva Palestine aluta continua