Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mara ya mwisho nilileta barua ya uchumba ukaniambia utanifikiria huku ukitafuta njia za kumwacha Kaboom.
Sasa umepotelea wapi? au ndiyo umeamua kubadili ID nisikuone tena? espy nisaidie kumtafuta wifi yako.
nawakumbusha member wa hili jukwaa huu ujumbe umeshapitishwa na kamati kuu...katibu nikatia saini tu.