Khantwe upo wapi?

Khantwe upo wapi?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Mara ya mwisho nilileta barua ya uchumba ukaniambia utanifikiria huku ukitafuta njia za kumwacha Kaboom.

Sasa umepotelea wapi? au ndiyo umeamua kubadili ID nisikuone tena? espy nisaidie kumtafuta wifi yako.

nawakumbusha member wa hili jukwaa huu ujumbe umeshapitishwa na kamati kuu...katibu nikatia saini tu.
 
hahah
Mkuu nahisi atakuwa bado anakufikilia!!
mwaka unakata sasa mkuu toka kipindi kile watu hawajaanza kulalamika vyuma.

Unajua ni vibaya ku drop application halafu usijulishwe kinachoendelea.?
 
mwaka unakata sasa mkuu toka kipindi kile watu hawajaanza kulalamika vyuma.

Unajua ni vibaya ku drop application halafu usijulishwe kinachoendelea.?
hahah
aiseee pole sana
 
Back
Top Bottom