Atakuja mda sio mrefu ana mengi yaku shea nanyi
Vumulia tu mzee baba tafuta plan BMengi yapi haya unayonieleza ya kumchukua... bora asiyaseme
hahahmwaka unakata sasa mkuu toka kipindi kile watu hawajaanza kulalamika vyuma.
Unajua ni vibaya ku drop application halafu usijulishwe kinachoendelea.?
Japo haipunguzi maumivuNami nitafute mnyonge sio.