Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Makubwa. Haya ufanye kunitafuta basi, I lost your number
Jf ya siku hizi mbona haina pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf ya siku hizi mbona haina pm
Una bahati nakupendaga sana yaani nisingethubutuMakubwa. Haya ufanye kunitafuta basi, I lost your number
Unaoleka??Sijaolewa. Kama vipi jitolee tu unioe boss
Kumbe kuna wanawake hawaoleki eeh? Basi pengine na mimi nimoUnaoleka??
Mpaka huko kwenu wanaume wanakuona tu, kulikoni.
Siyo pengine umo kama unataka kuolewa na hauolewi..!Kumbe kuna wanawake hawaoleki eeh? Basi pengine na mimi nimo
Nimerudia kusoma karibu mara tano sijakuelewaSiyo pengine umo kama unataka kuolewa na hauolewi..!
Kumbe kuna wanawake hawaoleki eeh? Basi pengine na mimi nimo
I miss you too darling...uko mzima?Usiseme hivyo, missing you
Yes my love, uliadimika ila nimekutunzia hadi leo nawe pia sina shakaI miss you too darling...uko mzima?
Una bahati nakupendaga sana yaani nisingethubutu
Huna haja ya kuwa na shaka sijaona mwingine kama weweYes my love, uliadimika ila nimekutunzia hadi leo nawe pia sina shaka
Nafarijika kwa hilo, mengine tutaongelea ndaniHuna haja ya kuwa na shaka sijaona mwingine kama wewe