Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe.
Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara kwa mambo ya kipuuzi na hawataki dunia iingie vitani sababu ya vichaa kama Netanyau ambaye analotaka ndo analofanya. Na sasa anasababisha Khayatollah aishi kama panya.