kibabu mtoto
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 138
- 171
Kwani yeye mama Samia anakutaka wewe??? Una faida gani ktk nchi hii zaidi ya kujaza vyoo na kuongeza idadi ya nzi!!! Huna faida na uache kumsema mama. Kama hautaki jifie zako.Umenikosea sana Kunaita kiazi Mkuu,, Huyu Mama simpendi ,simtaki, kumsikia hata kumuonea. Anadaiwa trillions 107 ,Mimi nadaiwa kama laki mbili hivi hatufanani kwa kweli. Nitake radhi.