Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Watu kama nyie mnapaswa mshitakiwe.
Umenikosea sana Kunaita kiazi Mkuu,, Huyu Mama simpendi ,simtaki, kumsikia hata kumuonea. Anadaiwa trillions 107 ,Mimi nadaiwa kama laki mbili hivi hatufanani kwa kweli. Nitake radhi.Uache kuanza kumshtaki samia uanze na mtoa mada!? We ni kiazi kabisa
Ktk post nimecheka hii ni mecheka... nikama utani ila ni kweliKatika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe.
Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara kwa mambo ya kipuuzi na hawataki dunia iingie vitani sababu ya vichaa kama Netanyau ambaye analotaka ndo analofanya. Na sasa anasababisha Khayatollah aishi kama panya.
We ni km maiti inayotembea.Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe.
Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara kwa mambo ya kipuuzi na hawataki dunia iingie vitani sababu ya vichaa kama Netanyau ambaye analotaka ndo analofanya. Na sasa anasababisha Khayatollah aishi kama panya.
Zile misheni vipi ,tunaelekea wapi ,no reform no election vipi itafanya kazi, na yale yalio tabiriwa yatatimia , Niko pale nasubiri jibuKtk post nimecheka hii ni mecheka...
We ni km maiti inayotembea.
Bibie umeguswa wapi mbona unaongea vitu hazieleweki au unafikishwa kwa kilele?
Khayatollah saivi anatumia usafiri wa bajaji ili kukwepa dron za mwamba Netanyahu
Acha huu usengerema mkuu, achana kushindana na makobazi kuleta news za kifala