Khayatollah ampigia simu Trump kumtaka awatulize vichaa Israel

Umenikosea sana Kunaita kiazi Mkuu,, Huyu Mama simpendi ,simtaki, kumsikia hata kumuonea. Anadaiwa trillions 107 ,Mimi nadaiwa kama laki mbili hivi hatufanani kwa kweli. Nitake radhi.
Kwani yeye mama Samia anakutaka wewe??? Una faida gani ktk nchi hii zaidi ya kujaza vyoo na kuongeza idadi ya nzi!!! Huna faida na uache kumsema mama. Kama hautaki jifie zako.
 
Yaani mnajitekenya then mnajichekesha wenyewe😎, Israel mlianza wenyewe ukorofi! Subirini dawa iwaingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…