Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Sijawahi kumsikia Mgombea wa Chadema akitukana zaidi ya kuelezea masuala na facts mbalimbali za yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.Labda Mimi nitakuwa sijui matusi
Ukweli ndio wanapewa fact,wamejaribu kutunyima haki,kuwapa watu makesi ya uongo,kujifanya wao mungu watu,leo wanaelezwa ukweli eti wametukanwa pambavu hawa,eti ns huyu choko anatishia watu eti mtaona kifatacho ITV atafanya nini,labda wategemee polisi lkn Sisi kwa Sisi hawatuwezi
 
Sikiliza hiyo video utaelewa kinachosemwa. Au kwako maana ya matusi ni yale ya nguoni? Kasome definition ya neno tusi kwenye kamusi. You can even just google. Hilo la nguoni wala siyo tusi.
CCM wao ni ruksa kuwabambikia kesi kuwatukana wapinzani?
 
Na yeye ni mtanzania na hii ni nchi yake pia!
 
Nimeisikiliza clip ya Kheri James, inaelekea ana hofu kubwa kwa Chadema kuwa na mawakala kwenye vituo vya kupigia kura.
 
Kweli wewe pimbi
 
Dhulma na amani huwa havikai pamoja, bali kusema ukweli ni hatua muhimu kuifikia haki na amani ya kudumu!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Nalienda sehemu kuulizia kitu fulani. Nikaambiwa nimepata. Wakasema mhusika, tall, ametoka kidogo tu. Nikasubiri. Punde kaingia jamaa mfupi kwelikweli. Kaambiwa mimi ni mgeni wake anisikilize. Niliwaza sana. Hili likoje emolo au mbilikimo kuitwa tall? Leo nimelikuta dr. Utopolo kujiita dr. Akili!
 
Na yeye atashikwa pabaya zaidi. Jino kwa jino hadi itambidi arudi kwao Ubeligiji akaendelee na lockdown ya covid 19.
Lissu haogopi hoja yeyote kama ilivyo kwa jiwe, mkijaribu tena kutumia SILAHA ZA KIVITA safari hii na sisi tutatumia silaha zetu za jadi. Mumbwa ninyi. Shindaneni kwa hoja KAMA MNAZO.
 
Sikiliza hiyo video utaelewa kinachosemwa. Au kwako maana ya matusi ni yale ya nguoni? Kasome definition ya neno tusi kwenye kamusi. You can even just google. Hilo la nguoni wala siyo tusi.
Ninyi WAHUNI hamstahili kuendelea kutawala nchi hii tena, mnapaswa kuungana na KANU ya kule Kenya.
 
Huyu dogo naye ajichunge asije akaishia the Hague akiwa na umri mdogo .Haya yanayowapata viongozi wenye viburi wa nchi zingine Tanzania is not exceptional.Kama uncle wake ana mbwelambwela kwenye kampeni za uchaguzia akubaliane na Hali halisi.
 
South Afrika ndiyo inaongoza kwenye matukio kama hayo kwa Afrika. Amerika inaongoza duniani kwa matukio ya aina hiyo. Sisi ni negligible. Kumbuka maendeleo ya nchi yanaambatana (direct propotional) na maongezeko ya uhalifu kama huo.
Mkuu hili jibu sidhani kama hata wenzako wataliafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…