minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
CCM ya kishetani eti hata wakikosolewa wao hutafasiri ni matusi kwa mtukufu mwenyekiti wa CCMEti kaatukanwa na nani pumbavu nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ya kishetani eti hata wakikosolewa wao hutafasiri ni matusi kwa mtukufu mwenyekiti wa CCMEti kaatukanwa na nani pumbavu nyie
Ukweli ndio wanapewa fact,wamejaribu kutunyima haki,kuwapa watu makesi ya uongo,kujifanya wao mungu watu,leo wanaelezwa ukweli eti wametukanwa pambavu hawa,eti ns huyu choko anatishia watu eti mtaona kifatacho ITV atafanya nini,labda wategemee polisi lkn Sisi kwa Sisi hawatuweziSijawahi kumsikia Mgombea wa Chadema akitukana zaidi ya kuelezea masuala na facts mbalimbali za yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.Labda Mimi nitakuwa sijui matusi
CCM wao ni ruksa kuwabambikia kesi kuwatukana wapinzani?Sikiliza hiyo video utaelewa kinachosemwa. Au kwako maana ya matusi ni yale ya nguoni? Kasome definition ya neno tusi kwenye kamusi. You can even just google. Hilo la nguoni wala siyo tusi.
Yaani wanaambiwa ukweli wanaona wanaonewa,maraisi watatu wanne lkn hakuna aliejenga uwanja kwaoKuambiwa umejenga uwanja kijijini ndio matusi?kuiba michango ya wahanga ndio matusi?kweli kijani kuna vihiyo kwelikweli [emoji3]
Wajaribu waone mziki wake na polisi watuschieHivi wanafikri vijana wote wa Tanzania ni UVCCM? Hebu walogwe wajaribu kufanya wanachopanga!
Na yeye ni mtanzania na hii ni nchi yake pia!Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?
Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Kwa hiyo Lissu Ana haki ya kumtukana rais?Ila rais yeye ana haki ya kutukana na kutisha wengine?
Ametukana tusi gani?Kwa hiyo Lissu Ana haki ya kumtukana rais?
Anaye muozesha Mjane mama yake tena mgonjwa kwa jogoo wa laki Shem on himHivi kuna kiumbe chenye matusi kuliko mwenyekiti wa ccm?
Kweli wewe pimbiHapo ndipo patamu. Ukweli wote utakaposemwa kuhusu yeye na chama chake hapatakalika. Siri zote za chama hicho zitakapowekwa hadharani itakuwa ni janga kubwa kwenye chama hicho. Sauti na video za waliopanga mashambulizi yake sept 2017 zikiwekwa hadharani itamlazimu asitishe hata hizo kampeni zake kwani ni watu alio nao karibu! Msitake tufike huko. Yaliyopita si ndwele tugange tu yajayo kwa ustaarabu na kuheshimiana. Tarehe 28 Okt 2020 yule wa kuchechemea ataendelea kuchechemea na yule wa kuzimiabataendelea tu kuzimia. Cha mhimu tujiepushe sote kuvuruga amani katika kipindi hichi cha silly season!
Dhulma na amani huwa havikai pamoja, bali kusema ukweli ni hatua muhimu kuifikia haki na amani ya kudumu!Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?
Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Mle kwenye kile kichwa naona kuna leakage ya akiliAnaye muozesha Mjane mama yake tena mgonjwa kwa jogoo wa laki Shem on him
Nalienda sehemu kuulizia kitu fulani. Nikaambiwa nimepata. Wakasema mhusika, tall, ametoka kidogo tu. Nikasubiri. Punde kaingia jamaa mfupi kwelikweli. Kaambiwa mimi ni mgeni wake anisikilize. Niliwaza sana. Hili likoje emolo au mbilikimo kuitwa tall? Leo nimelikuta dr. Utopolo kujiita dr. Akili!Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?
Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Lissu haogopi hoja yeyote kama ilivyo kwa jiwe, mkijaribu tena kutumia SILAHA ZA KIVITA safari hii na sisi tutatumia silaha zetu za jadi. Mumbwa ninyi. Shindaneni kwa hoja KAMA MNAZO.Na yeye atashikwa pabaya zaidi. Jino kwa jino hadi itambidi arudi kwao Ubeligiji akaendelee na lockdown ya covid 19.
Ninyi WAHUNI hamstahili kuendelea kutawala nchi hii tena, mnapaswa kuungana na KANU ya kule Kenya.Sikiliza hiyo video utaelewa kinachosemwa. Au kwako maana ya matusi ni yale ya nguoni? Kasome definition ya neno tusi kwenye kamusi. You can even just google. Hilo la nguoni wala siyo tusi.
Mkuu hili jibu sidhani kama hata wenzako wataliafikiSouth Afrika ndiyo inaongoza kwenye matukio kama hayo kwa Afrika. Amerika inaongoza duniani kwa matukio ya aina hiyo. Sisi ni negligible. Kumbuka maendeleo ya nchi yanaambatana (direct propotional) na maongezeko ya uhalifu kama huo.