Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

Wewe mpuuzi eti nawe unajiita Dr. Akili...huu udokta wenu huko CCM ni sawa na uhayawani! Kuna tusi zaidi ya kuwatishia raia wasio na hatia kwamba utawapiga wao, mama zao, shangazi zao na dada zao, huu si uhuni tu?

Hebu msikilize huyu mwingine anasema nini kuhusu kuwapelekea watu maendeleo...

Je wanaowakilishwa na wapinzani hawalipi kodi?
Mbona mgombea wenu anawatisha wananchi kwamba hawatajengewa barabara kama watachagua wagombea kutoka upinzani?
Shangazi zao na dada zao uwapige halafu kodi zao ukusanye lakini maendeleo uzuie huku wote ni Watanzania, kweli!​
Well said [emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji123]
 
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?

Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.

Kama HAKI IPO, wakibaki kwenye VITUO vya kupigia kura wewe una WASIWASI WA NINI?
 
Si mtwambie hayo matusi tuyasikie? Au na nyie mnasikia tu kama sisi?
 
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?

Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Kweli vichwa vyenu vimebaki makasha ya kubebea meno!! Kwa hiyo hayo ndo matusi na vitisho?
 
Huyu dogo naye ajichunge asije akaishia the Hague akiwa na umri mdogo .Haya yanayowapata viongozi wenye viburi wa nchi zingine Tanzania is not exceptional.Kama uncle wake ana mbwelambwela kwenye kampeni za uchaguzia akubaliane na Hali halisi.
Kwahiyo hutaki amjibu mpinzani wake ambaye kila siku anatukana watu?
 
Back
Top Bottom