Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
StupidityKuna mgombea moja anatoa lugha chafu ili aguswe akimbilie ubeligiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StupidityKuna mgombea moja anatoa lugha chafu ili aguswe akimbilie ubeligiji
Well said [emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji123]Wewe mpuuzi eti nawe unajiita Dr. Akili...huu udokta wenu huko CCM ni sawa na uhayawani! Kuna tusi zaidi ya kuwatishia raia wasio na hatia kwamba utawapiga wao, mama zao, shangazi zao na dada zao, huu si uhuni tu?
Hebu msikilize huyu mwingine anasema nini kuhusu kuwapelekea watu maendeleo...
Je wanaowakilishwa na wapinzani hawalipi kodi?
Mbona mgombea wenu anawatisha wananchi kwamba hawatajengewa barabara kama watachagua wagombea kutoka upinzani?
Shangazi zao na dada zao uwapige halafu kodi zao ukusanye lakini maendeleo uzuie huku wote ni Watanzania, kweli!
Huyu zake zinahesabika..mwambieni hiki sio kipindi cha kutishana tena
Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?
Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Kweli vichwa vyenu vimebaki makasha ya kubebea meno!! Kwa hiyo hayo ndo matusi na vitisho?Kwani huyo anayesema 'wakimugusa tu moto utakaowaka hamuna atakayeweza kuuzima' alikuwa anamtisha nani? Huyo anayesema 'mawakala wa chama chake watakapokuwa wanaenda kuapishwa kwa msimamizi wa uchaguzi wasindikizwe na umati wote uliohudhuria kwenye mkutano wake pale Ifakara' alikuwa anamtisha nani? Na kwamba umati wote huo utakapoenda kupiga kura hiyo tarehe 28 Oct 2020 ubaki hapo hapo kwenye kituo cha kupigia kura na kuhesabu kura hizo, alikuwa anamtisha nani? Na akasema maeneo yote nchi nzima wafanye hivyo, alikuwa anamtisha nani?
Arudi tu kwao Ubeligiji akapambane na covid 19, asituvurugie amani yetu. Tanzania ni kitovu cha amani Afrika.
Yupo kama yule intarahamweKuna mgombea moja anatoa lugha chafu ili aguswe akimbilie ubeligiji
Wewe subiri usije ukasema hukuambiwaSi mtwambie hayo matusi tuyasikie? Au na nyie mnasikia tu kama sisi?
Polisi wakituachia hawa UVCCM tutawapakata wote na kuwatia Adabu
Kwahiyo hutaki amjibu mpinzani wake ambaye kila siku anatukana watu?Huyu dogo naye ajichunge asije akaishia the Hague akiwa na umri mdogo .Haya yanayowapata viongozi wenye viburi wa nchi zingine Tanzania is not exceptional.Kama uncle wake ana mbwelambwela kwenye kampeni za uchaguzia akubaliane na Hali halisi.