Kheri ya sikukuu ya pasaka in advance

Kheri ya sikukuu ya pasaka in advance

Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda

Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele

Punguani Gily mrembo Lenie mchumba wangu dunia yangu Dahan shemeji yangu Analyse mzee wa ofa Mzee wa kupambani mwizi mzoefu alie tokea kwenye ujobless wa kimataifa Intelligent businessman Marcy mama yangu wa mizinga Jack Palladino broo wa jd nitakununulia Kanali G miss bantu sijakusahau Bantu Lady dogo langu mshamba_hachekwi lofa wa masaki zwenge ndaba To yeye Half american kama nimekusahau jiongeze tu hapa weka jina chini
Ubaguzi uo kwani usingetaja majina ingekuaje??
 
Asante sana mdogo wangu 🙏🙏🙏 tusiishie tu kupeana wishes toa code wapi kinasomeka siku hiyo 🍻
 
Back
Top Bottom