Ki Aziz apewa mama mpya na Watanzania. Makanjanja hawapo nyuma, yamegeuka machawa waandamizi

Safari hii hakuna Simba day, watoto wa mjini wame waachia timu waliokuja na mbio za mwenge wahangaike na Timu.
 
Jemedari Said anawaingiza mashabiki wa mbumbumbu fc Chaka, anasema Hersi Said anafanya aya yote Sababu ya Campein. Mtu timamu lazima ujiulize kwani mwaka jana pale Yanga nani alikua anafanya usajili kule Kongo, si uyuuyu Hersi.
Kwasasa Hersi ni mgombea pekeyake kwenye ngazi ya Urais pale Yanga Sasa kunakitu gani kinacho tishia ushindi wake katika uchaguzi wa Yanga ikiwa Hana mpinzani kwanini awaongo pee Yanga Kwa picha feki za Aziz K.

Kama tunakubaliana Hersi ndiye alikua akisafiri nje ya nchi kukamilisha maswala ya usajili Sasa Kwa Aziz K Kuna lipi la ajabu kama amekutana na kumalizana na mahitajio ya Aziz K Ili ache zee Yanga.

Kama Jemedari Said hoja ni picha ya mchezaji kupiga na kiongozi Hersi uku ameshikilia mkataba wa Yanga, unajuaje kama Aziz K bado ana mkataba na Asec hivyo ni kosa kupiga picha na mchezaji ambaye klabu bado aija pewa chake na kumalizana na Yanga?

Upo uwezekano mkubwa wa uwepo wa picha za Aziz K anasini mkataba na Yanga ila ningumu kutuma picha kama izo ikiwa bado Asec kama klabu na mmiliki wa Aziz K Awaja malizana na Yanga au kama tayari wamemakizana klabu ya Asec badao haijatangaza Kwa wapenzi wake.

Kwasasa Hersi ameshakua na uzoefu wa sajili za kimataifa kutokana na Changamoto alizopitia apo kabla, Kwaiyo Simba wawe wapole watafute wachezaji wengine wazuri kwakua wapo wengi.
 
Mi nimeinukuu tu wala sijaandika mimi na hapo chini kuna jina la mwandishi husika
Nimefikiri wewe ndiye Jemedali!

Ila nimemjibu aliyeandika hayo maneno na siyo nimekujibu wewe
 
Mbona
Hasira hivyo? Kwani hukumsikia Mario kuwa ukiishbikia mama Ester fc itakuzeesha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…