Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Habari zenu wakuu,
Aya, mara mojamoja sio mbaya
....tangu uzaliwe, uliwahi kutengeneza /kubuni nini cha kwako mwenyewe?
(kwa kutumia elimu ya darasani au akili ya kuzaliwa)
wazee wa zamani hawakuwa na elimu kama tunayoipata sisi, masuala haya ya teknolojia ni mambo ya kisasa wala hayakuwapo.
waliishi kwa ubunifu mkubwa sana, walibuni mambo kama
moto,silaha nk
hebu fikiria: wewe pamoja na kwamba umesoma chemistry,physics,etc unaweza kutengeneza risasi?
jamani hebu tujaribu kutumia pia akili zetu, elimu yetu hii japo tunasema haijitoshelezi tuitendee haki!
kwani wadhungu wanatuzidi nini?
yaani hata kutengeneza koki ya maji tu huwezi! aah mambo gani haya!
Mada kama hizi najua hazina wafuasi wengi, basi ngoja nikomee hapa, wewe twambie uliwahi kubuni/kutengeneza nini wewe kama wewe!!