Najua Mtikila atakivunja tu kiapo hicho.........Kiapo kitu gani watu wanaapa mbale ya kanisa wakijua Mungu yupo kuwa kifo ndicho kitawatenganisha na wanaachana iwe kiapo kilichotungwa na wanadamu?
Mimi ni muumini waserikali moja lakini soma maoni ya Nguruvi3 hapa>>>https://www.jamiiforums.com/great-t...e-cha-kuzinduka-tanganyika-4.html#post8955314
Kaka mzee huyu ni mwongo,how can you jusfify Muungano wa serikali tatu kwa maoni ya wstanzania 27 elfu,Anazeeka vibaya
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Hakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!
Katika mjadala huu wa ama serikali mbili au tatu kuna mambo muhimu na ya msingi ambayo watu wengi wanaogopa kuyazungumza kwa uwazi!! Kule visiwani wananchi wengi wenye asili ya kiarabu ndio wanaopigia debe muundo wa serikali tatu implying sovereignity ya Zanzibar; wananchi ambao hawana asili ya uarabu wao wanashabikia kuwa na muungano wa serikali mbili kwani unawaweka karibu na wananchi wa bara na wanaogopa kuwa kama muungano utateteleka kwa namna yeyote ile hiyo itawapa fursa waarabu hasa wa Oman kurudi na kuwa na sauti kubwa katika kutawala hivyo visiwa!!. Hofu ya waarabu kurudi ni real kwani wameonesha nia hiyo kwa jinsi wanavyowafadhili wanasiasa wenye mlengo wa serikali tatu!!
Udhaifu unasababishwa na huo mfumo wa sasa kaka ndio maana jaji amekuja na huo muundo wewe mwenyewe unalijua hilo ila naamini hutomwangusha jaji
Naapa kuulinda muungano,ee mungu nisaidie.
Serikali Tatu Ni Upuuzi......
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Katika mjadala huu wa ama serikali mbili au tatu kuna mambo muhimu na ya msingi ambayo watu wengi wanaogopa kuyazungumza kwa uwazi!! Kule visiwani wananchi wengi wenye asili ya kiarabu ndio wanaopigia debe muundo wa serikali tatu implying sovereignity ya Zanzibar; wananchi ambao hawana asili ya uarabu wao wanashabikia kuwa na muungano wa serikali mbili kwani unawaweka karibu na wananchi wa bara na wanaogopa kuwa kama muungano utateteleka kwa namna yeyote ile hiyo itawapa fursa waarabu hasa wa Oman kurudi na kuwa na sauti kubwa katika kutawala hivyo visiwa!!. Hofu ya waarabu kurudi ni real kwani wameonesha nia hiyo kwa jinsi wanavyowafadhili wanasiasa wenye mlengo wa serikali tatu!!
Kingukitano: mpango wa mwl.nyerere ilikuwa ni serikali moja ndiyo maana aliificha Tanganyika ndani ya muungano ili wazanzibari wakomae kifikia kukubari kuwa nchi moja.mpaka mwl.kabla mwl.hajatutoka alikwisha jionea mwenyewe zile nyufa.mbaya zaidi Zanzibar wanakatiba yao ya mwaka 2010 anasema hivi, Zanzibar ni nchi hapo unasemaje? Hiyo serikali moja unaipataje?
Hapo penye red,tayari umeishatukana na rekodi yako imeandikwa na malaika tayariKwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.