Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

Hapo penye red,tayari umeishatukana na rekodi yako imeandikwa na malaika tayari
Hivi nyie ninyim nani kawaloga mnajikanyaga wenyewe,
utabiri wa askofu kakobe unawaandama hadi uwapate.

Hahahahahaha,kwenye red Natubu mkuu
 
Unafahamu kuwa hata sasa serikali 3 ndizo zinafanya kazi!

1.serikali ya muungano
2.serikali ya Zanzibar
3.tawala za mikoa na serikali za mitaa.(Tanganyika)
 
Serikali mbili ndio habari ya mujini.
 

UBONGO bila AKILI ni sawa na CHUPA YA CHAI TUPU
 
Unafahamu kuwa hata sasa serikali 3 ndizo zinafanya kazi!

1.serikali ya muungano
2.serikali ya Zanzibar
3.tawala za mikoa na serikali za mitaa.(Tanganyika)

Hebu tuambie Rais wa serikali za mitaa,tuambie waziri wake mkuu na mahakama zake.tuambie Bunge lake na mifumo yake.
 
Ninyi mnataka kuchonganisha watu. Kwanza mapendekezo ya Serikali tatu yalikuwa hayavunji muungano na wala Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Kumbuka kinachojadiliwa ni katiba ya Jamhuri ya muungano. Pili kiapo hicho ni uaminifu kW Jamhuri ya Muungano ambayo wanaojadiri Rasmu ya katiba yake! Mnataka kuleta chuki ambayo haina mantiki!
 
Lazima utakuwa umekunywa ngedule sio bure wewe.
 

Akili yako imeishia hapo,wenye kuona mbali tumeliona hili,..imekula kwenu
 
Mbulula kweli wewe hahaha....hii ni tafsiri sisisi....kafie mbele huko
 
Wewe ni mjinga mkubwa sasa kwenye hii sayari, hata darasani inaonekana ulikuwa kizibo cha kufa mtu, nenda kapige matarumbeta.

We mnywa gongo kwa taarifa yako kwa upande wa darasani sijapata GPA chini ya 4.5 kuanzia first degree hadi Masters,sema jingine we Bhavicha
 
Unanionea kaka Gongo ya Bavicha situmii,akili yangu iko safi na fresh wala sio ile ya wenzetu wa Bavicha.
Nasema wewe ni mjinga na utakuwa na wazzimu humo kichwani, kichwa chako kinatumika kufugia nywele na ndevu na kukupa shepu ila akili hakuna
 
We mnywa gongo kwa taarifa yako kwa upande wa darasani sijapata GPA chini ya 4.5 kuanzia first degree hadi Masters,sema jingine we Bhavicha
Ndio una GPA zaidi ya 4.5 ila huna busara rubbish weye, mwanaharamu kwa taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…