makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Vitu vidogo hivyo... Ngoja nipige msosi nakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too fast to judge na hujui kilichotokea....utatangulia ww motoniKikubwa wewe ndio mwenye makosa WANAUME tuwe makini na hivi vibinti unyoya kilikula kiapo kama malaika hata mwaka haujapita kamegeuka kashetani hapa kinaombea msaada
Chamsingi wewe move on ukigeuka kichaaa ni wewe mwenyewe usipogeuka sema alhamdulilah ila motoni hukwepi
Do what I have advised you it will work out with you seriously.Tulilamba kutoka kwenye kidole
Bado haijaungua videoJamaa katunga scrip imeungua CD
Thank youDo what I have advised you it will work out with you seriously.
AsanteMwenyewe tu inatosha kuvunja.
Simple
Ni mtu mzim na sio mwanafunziHaa watu wanakula kiapo na misahafu wanamtaja Mungu mbele ya madhabahu, halafu wasahau na hakuna kinachotokea. Wewe kitakachokusumbua si kiapo, bali ni kuamini katika kiapo hicho kiasi kwamba ukiwa kwenye mahusiano badala ya kufurahia mahusiano, utakuwa uanawaza kiapo hicho. Kila jaribu likitokea wewe wawaza hicho kiapo.
Tupa kule kiapo and move on. na uache ujinga huo siku nyingine usirudie kula viapo. Bila shaka wewe ni mwanafunzi. Mapenzi ya wanafunzi huwa wanahisi watadumu waonane yani kimovie movie
sahau acha uogaNi mtu mzim na sio mwanafunzi
Aisee ....uliona kwa mtu pengine auKiapo chenu kinaleta madhara kwa aliyekivunja yaani kumuacha mwenzake.
Nakushauri kajiunge na shirika la Masista dadaangu.
Imeisha hiyo
Ayasahau acha uoga
Nikiyatimba huko kuwa kichaaYani kaBoi frend ndio mnakula viapo ivo hichi kizazi kina Wajinga wengi ama kweli.
Hata ndoa ile ya kanisani hakuna kiapo cha ivo.
Icho sio kiapo hakina lolote ww Endelea tu na Sponser wako
AyaVitu vidogo hivyo... Ngoja nipige msosi nakuja.
Mapenzi kakaMnatoaga wapi huu ujinga?
Poleyani wakati naandika nilikuwa nawaza hao hao. Wanavyokula viapo ahalafu wakitoka ahapo wanaenda kutuibia.
Pole Sio kila kitu cha kuigaMiezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkakapo mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
HAYO NDIYO YALE MATOTO MPUMBAVU YANAYO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU...VERY STUPID
Can't risk bado natka kuishiMteke umpe kichapo mpaka aikane hiyo nadhili. Kama unaamini sana.
Pia umezingua hujui ulimwimbea mabaya Gani. Mwenzako anakula life wewe unateseka Kwa mawazo.
Otherwise njoo kwangu tule tundra alafu Ione kama tutakufa, hapo hapo. Do